Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,300
- 40,101
.
Labda wizarani au hata mtandaon
hivi?Wanapelekaga kwa waandishi wa habari nadhani kama yule aliyegundua Helikopta nilimuonaga huko.
ni wa kisayansi ila costech wenyewe wanadeal na watu wa university mostlyKama ni ugunduzi wa kisayansi wapelekee COSTECH, kama ni wa kisanii wapelekee BASATA.
mkuu nmeomba ushauriUmegundua nini Kama ni Formula ya Hesabu iweke hapa tuone kama kuna formula sijawahi ipitia...
nashukuru mkuuUzi mzuri sana mkuu wengi watafaidika na hii thread
bora nashukuruNenda wizarani ukaulizie wao ndy watakupa maelezo ya kna zaid,ila kumbuka kuwa unaweza kunyang'anywa au kudhulumiwa hyo formula na wahuni.Kuna Mzee flank namfaham aligundua dawa ya kutibu sumu ya nyoka akaipeleka wizarani hyo dawa pamoja na baadhi ya nyoka kwenye sumu husika inayoweza kutibiwa na hyo dawa,kilichotokea in kwamba kuna mtu akataka kum- double cross kwa kumlazmisha Mzee atoe fomular,kwa bahat nzur Mzee akashtukia kamchezo na akarud na dawa yake,formula pamoja na nyoka wake so, be care Mister kwa kuwa ukienda ukajichanganya kwa kukabidhisha formular kwanza na ukamuelekeza namna ya ku-prove hyo formular,atawahi kwenda kwenye Media na kuiandikia kitab! Mwishowe watu watamuamini kuwa yeye ndy founder wa hyo formular
unaliza tena na umeona mtu kagundua hapo juuBongo kuna wagunduzi kweli?