Ushauri wa sehemu ya kupeleka ugunduzi wangu

Ushauri wa sehemu ya kupeleka ugunduzi wangu

Ita kwanza vyombo vya habari uuelezee kabla ya kuupeleka popote.
 
Mko poa wakuu?
Niende kwenye mada yangu kiujumla, najua humu kuna wasomi. Swali langu lilikuwa je kwa Tanzania kwa mfano mtu ukiwa umegundua lets say formula ya hesabu au kitu chochote cha tofauti unapeleka wapi na je kuna faida yeyote unayooweza ipata kutokana na ugunduzi wako huo?

Lengo la uzi huu sio kujisifia bali ni swali na kuomba ushauri.

Asanteni🙂🙂
Kama ni wa kisayansi/kiuchumi/sanaa, andika kwa utaratibu na mwongozo unaokubalika, utume kwenye majarida (journals) husika. Yako majarida mengi,chagua kwenye Google.
 
Ingia Google dialog box, type au search Scientific journals kama unataka kuwa more specific unaweka +African journals etc
Na, watakujulisha namna ya kusubmit na kama ugunduzi wako utakuwa peer reviewed. By following such steps, ni rahisi kuwa awarded au accredited na baadhi ya institutions wanachama wa hiyo journal.
 
Pia use me umegundua nn sio kuuliza swali pekee Hiroshi kukupa ushauri concrete
 
Yote yanawezekana kwa wenzetu waliostaarabika....
Sio Tanzania Mkuu.
 
jambo la kwanza kaikatie haki miliki hiyo idea yako. halafu baada ya hapo andika barua kwa waziri husika na brief description ya ugunduzi wako ukiambatanisha na contacts zako ukiomba apointment. kwakua hii ni serikali ya kiki lazima utaitwa
 
sema mkuu hujajipambanua vizuri ungejaribu kuweka description atleast ugunduzi wako unahusiana na nini, sanaa, sayansi, falsafa, dawa, ujenzi au.....
 
Mko poa wakuu?
Niende kwenye mada yangu kiujumla, najua humu kuna wasomi. Swali langu lilikuwa je kwa Tanzania kwa mfano mtu ukiwa umegundua lets say formula ya hesabu au kitu chochote cha tofauti unapeleka wapi na je kuna faida yeyote unayooweza ipata kutokana na ugunduzi wako huo?

Lengo la uzi huu sio kujisifia bali ni swali na kuomba ushauri.

Asanteni🙂🙂

Kwa hapa kwetu faida utakayopata sanasana ni kupigiwa makofi, vinginevyo uwe umegundua kitu cha kisiasa hapo utang'ang'aniwa kama mpira wa kona
 
Mkuu ugunduz wangu unahusu afya, majengo , njia mpya za nishati , na pia nna idea kuhusu simu au electronic device ztakszokua modernized kuliko hzi za sasa
 
  • Thanks
Reactions: amu
Tanzania hawakawiii kukuweka lupango au kukupiga marufuku
 
Back
Top Bottom