Ushauri wa manufaa kwa mwenzetu Bujibuji.

Ushauri wa manufaa kwa mwenzetu Bujibuji.

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,282
Reaction score
250
Bujibuji namuona ni mtu mwenye kipaji cha uchekeshaji na huwa anatuchangamsha sana humu ndani JF.
Mi namshauri muda wake wa ziada awe anatengeneza video za vichekesho ambazo zitamsaidia kumuinulia kipato.
Kila mtu ana kipaji ila cha Buji kiko bayana akifanyie kazi.
Nawakilisha.
 
lol
Hii ndio raha ya JF!!
Nasubiria vichekesho zaidi hapa...!
 
hahahahaha hahahaha hahahha jamani mi ntakuwa wa kwanza kununua hizo cd , ila sijui lini zitakuwa tayari?
 
Back
Top Bottom