A single parent is a person who has a child or children but does not have a spouse or live-in partner to assist in the upbringing or support of the child. Reasons for becoming a single parent include decease, divorce, break-up, abandonment, becoming widowed, domestic violence, rape, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.
Kama nilivyolelewa na singo mother na mimi pia natamani kuwa singo father.
Ninawatapeli wanawake kupitia hela, ananizalia mtoto akiwa na mwaka na mpokonya, namletea mamangu ananilelea!
Habari wanajf
Huwa ninashangaa kuona kijana asiye na mtoto hujitwisha mzigo mkubwa wa kiasi hicho. Mimi nimewahi kudate na single mother muda wa miaka Kama 2 hivi niliona rangi zote kwa kweli na sio single mother wa Kwanza na karibia wote wana changamoto zinazofanana. Mwaka wangu wa Kwanza...
Salam kwenu wakuu!
Twende kwenye mada husika, yupo mwamba moja yeye ana umri wa miaka 39 saivi, na hadi sasa ana watoto 6, wanne mama tofauti tofauti, na wawili mama moja huyo ndo waliishi nae km 8yrs, wakaachana, hao wengine jamaa alipita tu, ss baada ya kuachana na huyu alieishi nae...
Siku hizi, ndoa zimekuwa kama subscription ya Netflix—ukiona haikufurahishi, unabonyeza cancel fasta! 🤷♂️ Wazazi wetu walikuwa wanaishi kwenye ndoa kwa miaka 30+ hata kama kulikuwa na matatizo, lakini kizazi cha sasa? Umetofautiana na bae mara mbili, unaita ndugu, unaandika status za toxic...
Nakuambia hadi vyama vyote vya wakina mama wangepiga kelele karibia mwezi mzima. Wakina jackline na tv showz na hawa wabunge wa nafasi maalum wa kike bungeni..
"Ooh hayo ndio matokeo ya kuwatesa wanawake mnakataria watoto alafu watotonashindwa kuwalea"
Lakini imewatokea kwa single mother...
Kwa nini mabinti wengi wadogo wanakubali kuingia kuolewa na wanaume wenye mtoto au watoto tayari(single fathers) na kuanza ndoa zao changa wakiwa mama wa kambo katika umri mdogo??
Ningependa tushare experience hususani ya malezi ya mtoto chini ya miaka sita ukiwa kama baba yaani full responsibilities kuhakikisha mtoto anapata huduma zote za msingi.
Binafsi Nina mpango wa kuishi na mwanangu baada ya kujilidhisha pasipo na shaka kuwa mzazi mwenzangu anaelekea kushindwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.