Ushauri wa leo kwa kaka zangu

Ushauri wa leo kwa kaka zangu

totoadela

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
370
Reaction score
1,111
Ukipata mwanamke anayeamini katika mihangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.

Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu.

Nimekaa pale nasubiri povu la wanawake wenzangu
 
Ukipata mwanamke anayeamini katika miangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.
Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu..

Ni kweli, ila pia wanaume wengi ni changamoto kwenye swala la mahusiano, usaliti ni laana kubwa sana, husababisha baadhi ya wanawake Kulipa kisasi
 
Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu..
hili ni kweli kabisa ila kwa bahati mbaya siku hizi kumpata mwanamke wa sifa ulizozitaja ni ngumu sana wamebaki wachache sana. Wengi ukiwa unajitafuta na hujajipata wanakuona kama linyumbu fulani hivi, ukishajipata ndio anaanza kukuona kama mtu.
 
Ukipata mwanamke anayeamini katika miangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.
Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu..

Nimekaa pale nasubiri povu la wanawake wenzangu

Umenena vyema ila wengi wao hawa kaka zetu wakikaa vizuri kiuchumi ndio wanaanza kutafuta wale wanaita type zao ila wale waliohangaika nao kipindi wapo majalala wanawaona washamba.
 
Ukipata mwanamke anayeamini katika mihangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.

Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu.

Nimekaa pale nasubiri povu la wanawake wenzangu
Kweli mkuu,umeongea mambo yenye maana sana boss,tunaishia kupata watu wasioamini ktk mihangaiko yetu boss,mda wote anawaza unamsaliti tu.
 
Umenena vyema ila wengi wao hawa kaka zetu wakikaa vizuri kiuchumi ndio wanaanza kutafuta wale wanaita type zao ila wale waliohangaika nao kipindi wapo majalala wanawaona washamba.
Wakati wa kuvumilia unatakaiwa uwe na macho ya rohoni. kuona nipo na mtu sahihi au la ?
Dunia ya sasa imechafuka sana, Adui wa mtu ni yule wa Nyumbani kwake.

Maisha ni Mashindano, pengine hata haikua wazo lake kukuacha, ila ndio hivo akakutana na wazee wa kazi wakamteka.
 
Back
Top Bottom