Ushauri wa kununua photo copy machine ipi nzuri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa kununua photo copy machine ipi nzuri?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mbwambo, Oct 16, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Nataka kununua photocopy machine ambayo itadumu na haitanipa shida
  sijawahi kutumia na sijui nzuri ni ipi
  ila ninahitaji medium size maana sina hela ya zile kubwa ninazoziona kwenye biashara za watu
  naomba ushauri wenu wapendwa wa jamii forums
  asanteni
   
 2. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,202
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  check for canon IR1600. ALL THE BEST
   
 3. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  kwanza asante kwa kunijibu. Ila hii aina ninauliza sijui mahali wanauza ni wapi
  asante kwa kuendlelea kunisaidia
   
 4. n

  nkoakirika New Member

  #4
  Nov 2, 2013
  Joined: Jul 18, 2013
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  printer nzuri ni ipi.
   
 5. alma gemela

  alma gemela JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2013
  Joined: Feb 22, 2013
  Messages: 850
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Check canon iR2016, tembelea maduka ya samora pale jengo la PPF house pia na pale pembeni ya askari. Ila pale huwa wana bei sana pengine ips bulding opp na S.H amon duka linaitwa click computer
   
Loading...