ushauri wa kuhusu kupata vyuo

samwelmashayo

Member
Sep 30, 2015
7
0
nilikua naomba kuuliza mimi nilikua na cheti chenye pass ya masomo matatu nikaja kurisiti masomo mengine tofauti na yale nikapata pass tatu nyingine za masomo mengine
swali je ninaweza kupata chuo? swal je watajumlisha pass za chet kilicho pita na result slip nilio rudia coz vigezo nikua na pass zaidi ya nne msaada wenu wadau
 
Back
Top Bottom