Achana na degree electrical rudi hatua moja nyuma kapige diploma ya electrica enginearing VETA au ATC- Arusha na ukimaliza hakikisha haukai mbali na TANESCO nenda kachimbie nguzo au kuvuta waya huko ajira na mishiko ipo karibu sana, degree utaisoma ukiwa kazini. Fanya hivyo haraka mkuu tena usisite site hata wakikucheka wewe usiwaze
Nb. Ukipuuza ushauri huu utakuja kujutia wakati ukiwa bodaboda au fundi radio na Tv maana soko la ajira haliwataki wenye madegree , degree zinachukuliwa huko huko kazini
Weka lamination ushauri wangu uwe sala yako kila siku asubuhi