Wakuu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita mwaka huu PCM nikiwa na BBA naombeni mawazo mazuri kuhusu kozi kwangu mm napendelea electrical engineering
Hatari so hapo integration by parts unashusha kama unateleza ndani ya mbususu., binomial distribution kama wanyonya chuchu vileWakuu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita mwaka huu PCM nikiwa na BBA naombeni mawazo mazuri kuhusu kozi kwangu mm napendelea electrical engineering
Kimbia haraka sana ukasomeWakuu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita mwaka huu PCM nikiwa na BBA naombeni mawazo mazuri kuhusu kozi kwangu mm napendelea electrical engineering
Mzee wa hovyoo😅Hatari so hapo integration by parts unashusha kama unateleza ndani ya mbususu., binomial distribution kama wanyonya chuchu vile
Kabisa kabisaMzee wa hovyoo😅
vyuo gani unaona vipo fresh kakaCivil Engineering pia au Mechanical zimekaa vizuri
Udsm,DITvyuo gani unaona vipo fresh kaka
Asante broKasome mechanical engineering pale UDSM utanishukuru baadae
Si usome guidebook ya tcu mkuu uone kama una vigezoFamilia mimi nimepiga PCB nilikuw naulizia hivi naweza omba mechanical engineering pale MUST maana competition kwenye afya kwa sasa sio powa yaani kupata chuo , Matokeo yangu ni BBC
Achana na degree electrical rudi hatua moja nyuma kapige diploma ya electrica enginearing VETA au ATC- Arusha na ukimaliza hakikisha haukai mbali na TANESCO nenda kachimbie nguzo au kuvuta waya huko ajira na mishiko ipo karibu sana, degree utaisoma ukiwa kazini. Fanya hivyo haraka mkuu tena usisite site hata wakikucheka wewe usiwazeWakuu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita mwaka huu PCM nikiwa na BBA naombeni mawazo mazuri kuhusu kozi kwangu mm napendelea electrical engineering
Achana na degree electrical rudi hatua moja nyuma kapige diploma ya electrica enginearing VETA au ATC- Arusha na ukimaliza hakikisha haukai mbali na TANESCO nenda kachimbie nguzo au kuvuta waya huko ajira na mishiko ipo karibu sana, degree utaisoma ukiwa kazini. Fanya hivyo haraka mkuu tena usisite site hata wakikucheka wewe usiwaze
Nb. Ukipuuza ushauri huu utakuja kujutia wakati ukiwa bodaboda au fundi radio na Tv maana soko la ajira haliwataki wenye madegree , degree zinachukuliwa huko huko kazini
Weka lamination ushauri wangu uwe sala yako kila
degree kwa usawa huu wa skuizi ni uwongo sana nenda diploma, ukipata kazi kachukue degree
Kuna kozi za technical education in engineering unaweza kuzisoma. Eg, tech education in mechanical, tech in civil na nyingine nyingi. Unaweza pitia TCU pia vizuri zaidi.Familia mimi nimepiga PCB nilikuw naulizia hivi naweza omba mechanical engineering pale MUST maana competition kwenye afya kwa sasa sio powa yaani kupata chuo , Matokeo yangu ni BBC
nakazia mkuu. Degree jau sana . Diploma michongo ni chap chap degree atasoma akiwa kazini. Tena akiwa na masifa anachukua hadi masterswanangu walio pita diploma now wanaajira ila sisi wa degree babake tunasota , degree kwa usawa huu wa skuizi ni uwongo sana nenda diploma, ukipata kazi kachukue degree
Huwezi fanya Mechanical Engeering kwa kua huna Math advance,labda uende ukasome njeFamilia mimi nimepiga PCB nilikuw naulizia hivi naweza omba mechanical engineering pale MUST maana competition kwenye afya kwa sasa sio powa yaani kupata chuo , Matokeo yangu ni BBC
Nenda chuo kinachotambuliwa na serikali au kiwe cha serikali na kijikite hasa kwenye mambo ya afya. Piga diploma ya C/o ( tabibu) maswala ya afya kama bado ipo . Fanya hivyo haraka mkuu usipepese machoFamilia mimi nimepiga PCB nilikuw naulizia hivi naweza omba mechanical engineering pale MUST maana competition kwenye afya kwa sasa sio powa yaani kupata chuo , Matokeo yangu ni BBC