Ushauri wa Kitaalam

Kaniki1974

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
352
22
Ninafikiria kuanziasha kampuni tatu za kifamilia zenye kuhusika na sekta tatu tofauti ambazo hazina uhusiano wa moja kwa moja. Kampuni hizi zitakuwa chini ya kampuni moja (umbrella company). Ninahitaji kujuzwa KITAALAM:

1. Kama ni wazo liwezekanalo kimanejiment
2. Masuala ya kodi
3. Kama umiliki hautakuwa issue
4. Uendelevu
5. Uwezekano wa kuzianzisha kwa pamoja/siku moja

Nahitaji ushauri wa kitaalaam.
Asanteni
 
Hi Kaniki wasiliana na hawa jamaaa wanaitwa GM Business Consult Limited +255 715 73702 au kwa email info@gmconsultz.com watakusaidia. I have worked with them, they're damn good
 
gharama zao zikoje usije ukakuta nusu ya mtaji wote wanachukua kama consultant fee.
 
Back
Top Bottom