Shida angu kurecover na kumove onMmegombana kwa sababu gani na upo mkoa gani?
HapanaPole, upo DSM?
Hapana sifanyi nae kazi yeye yupo mkoa mwingine asante kwa ushaurijamaa mnafanya nae kaz sehm moja? kama hapana nxt tme jtahid kufcha mahusiano yako au mambo unayoptia kwenye mahusiano yenu kama furaha au ugomv kuwashirkisha wenzako mana hapo ndipo walpo chukulia point kazn n sehem ya Do your work get your salary Then go hom spend your money and Time.. pole sana
Asanteduh poLe sana mkuu
Dawa pekee ya kupona hilo jeraha ni kusahau yaliyopita na hivyo kuganga yajayo. Futa namba zake za simu, futa kumbukumbu zake zote kichwani mwako. Then tafuta mtu sahihi, na mwisho kabisa furahia maisha.Shida angu kurecover na kumove on
AsanteHapo tatzo lpo kwa huyo mwenzio unaefanya nae kaz dear.
Cha msingi kubali kuwa ni hali kweli imekukumba ww na nafsi yako.
Futa namba ya hilo dume na anza upya.
AmenPole sana, tumia muda wako mwingi kufanya ibada na kama sio mtu wa ibada jitahidi kujichanganya na watu. Ila jitahidi kutoanzisha mahusiano mapya kwa sasa.
SawaaWanaulizia mkoa ili wakufariji hautaki
AsantePole sana,futa kumbukumbu zake zoteeeee.Picha,vitu n.k then utakuja nishukuru.I wish nukae nawe masaa 4 tuongee but sijui upo wapi?Ila tambour wewe si wa kwanza kufanyiwa hivo hata mimi nimefanyiwa hivo na mdada.Tena nilijitoa sanaa kwake na akili yangu ilijua tayari mke ninepata.Aisee kilichotokea inashangaza! Ila ninasonga mbele,wanawake wapo wengi.
So hata wewe songa mbele,wanaume wapo wengi.
Makao makuu ya nchiPole ..Uko mkoa gani?