mateso wapi kugegeda raha sana wewe sijui nyie mgegendwao....! ila mkinasa hapo shughuli
Kuzaliwa mwanaume matesoooo!!!!!!!!!!! Kuhangaika!
Kuzaliwa mwanaume matesoooo!!!!!!!!!!! Kuhangaika!
Sasa unataka ushauri gani hapo? Huna common sense wewe?
Wakuu ni muda wa miezi mitatu nimekuwa nikimfatilia hatimaye akanasa lakini baada ya kumpata imekuwa kero siku moja tu baada ya kukubali kuwa naye amekuwa akinipiga vibomu mara nikitaka kwenda kwake niende na simu yakwake inamsumbua, mara anaomba atolewe out siku za weekend, mara anataka nimlipie kodi ya nyumba , mara anunuliwe nguo nikimwambia anipe muda anasema simjali, nifanyeje wakuu nampenda sana naombeni ushauri jamani.
bahili afaidi hadi siku ya iddi
acha uchoyo wewe mzee
toa ubarikiwe ,bora kutoa kuliko kupokea
ahahaaaaHapo imekaaje ndugu, siku hizi kuna kupata/kupewa baraka baada ya kuvunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu, ama shetani naye anabariki.
hahahaha haiyumkiniSasa we unategemea nini wakati kwa miezi yote mitatu uliyomfuatilia ulikuwa unaonyehsa advatize ya hela?...
Hivi hii ni bei ya chini au ni bei ya kawaida na ikiwa aghari sana inafikia sh ngapi. I'm just curioushapo hakuna mapenzi, tafuta ka-LAKI ,piga mzigo..chapa lapa.
Siku hizi mambo ya dhambi yameachwa mbali sana mpaka mtu akifa . Tena kizazi hiki hakitaki kabisa kuijadili dhambi na ukijaribu kuigusia wataboreka hivi ndivyo ulimwengu ulivyo hasa kwenye nchi zetu za dunia ya tatu maana ndiko kuliko na ushenzi wa kila namna. Na ndiko neema ilikomwagwa kwa wingiHapo imekaaje ndugu, siku hizi kuna kupata/kupewa baraka baada ya kuvunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu, ama shetani naye anabariki.
Hapo tofauti ni kwamba wewe unampenda yeye na yeye anapenda pesa tu,fikilia usipokuwa na pesa atakutaka tena?
Kwani ulimtongoza kwa madhumuni ya kuwa mzazi wake?