Ushauri wa kina unaitajika

Ushauri wa kina unaitajika

Kila kitu kina gharama yake mbona madai yake sio makubwa sasa angeomba umnunulie nadia ungesemaje mpendwa. Ukiyavulia maji nguo sharti uyaoge . Na ukiamua kuasi asi kwa mapana yake sio nusunusu sasa sijui wewe hapo unatafuta starehe au mke mie sijui. Kma unatafuta starehe basi mridhishe mwenzio na kama unatafuta wa kuoa ni vema ukamwambia mtazamo/wasiwasi wako ktk hilo.

i have spent too much time to agonize this matter, i think is better to leave her.
 
sasa we ulitakaje!!! toa hizo moniii hamna advice zaidi hapo!!
 
hapo wadada ndipo mnapo nifurahisha...! ugelifriend tu panachimbika vipi ndoa sasa, make mtu anafikiria kama uhusiano tu ubnakuwa na ghrama badala ya kujifanya disminder..! huyu hataki ndoa hapo mzee gegeda ualale mbele mzee!

i despise myself for being ningnong..
 
mapenzi ya pesa mi siyawezi.

Nakusikitikia kwani ndio dunia ilipofikia, ukishindwa kuishi kwa style hii siku mwenzako mwenye hela akitokea utaachwa solemba au atakuwa anakusaliti daily. Solution tafuta hela my dear kaka kwani mahusiano ya karne hii bila hela ni kama kusubiria treni feri. Hata mimi hii hali tuliyofikia siipendi ila ndio dunia ilipofikia. Huu ni ukweli mchungu.

Ahirisha kwanza mambo ya mahusiano utafute hela kama bado hujazipata...ukishazipata mbona watajipanga msururu wenyewe....
 
  • Thanks
Reactions: amu
hapo wadada ndipo mnapo nifurahisha...! ugelifriend tu panachimbika vipi ndoa sasa, make mtu anafikiria kama uhusiano tu ubnakuwa na ghrama badala ya kujifanya disminder..! huyu hataki ndoa hapo mzee gegeda ualale mbele mzee!

nimeshindwa kumwelewa siku ya tatu tu ya mahusiano amekuwa na ujasiri wa kutosha kuniomba vitu vyote hivyo ,bila haya yoyote nimeona nifanye maamuzi magumu ya kumkwepa hapo tu mwanzo je huko mbeleni itakuaje sihataomba hata gari la kutembelea wakati mimi sina.
 
kukosa hela shida sana anyway huyo dada hummuwezi muache wenye hela zao watamtimizia kitu kama nguo,simu kodi vitu vidogo sana mwanaume kumfanyia mwanamke siyo mpaka uje upige kelele in btn wewe umezoea kuhonga 8000 teh teh umekutana na wa 800,000 lazima upige kelele
 
mangi fungua macho huyo materialistic hadi cku unamfanya wife huna hata hela ya honeymun
 
Back
Top Bottom