BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Wakuu ni muda wa miezi mitatu nimekuwa nikimfatilia hatimaye akanasa lakini baada ya kumpata imekuwa kero siku moja tu baada ya kukubali kuwa naye amekuwa akinipiga vibomu mara nikitaka kwenda kwake niende na simu yakwake inamsumbua, mara anaomba atolewe out siku za weekend, mara anataka nimlipie kodi ya nyumba , mara anunuliwe nguo nikimwambia anipe muda anasema simjali, nifanyeje wakuu nampenda sana naombeni ushauri jamani.