Ushauri wa kimalezi

Ushauri wa kimalezi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,156
Reaction score
55,654
Nina binti yangu ana miaka 12 na ningependa abobee kwenye 'animation' kwa sababu lengo langu ni kuanzisha kitu kinachoitwa 'Home of Animation'. Nimependa fani hiyo kutokana na fursa nilizoziona huko duniani.

Nilitaka nianze kwa kutafuta mwalimu, awe anakuja kumfundisha hizo 'program' hasa siku za jumamosi na jumapili.

Hofu yangu, kwa umri wake; ubongo wake unaweza kubeba vitu vizito?

Kwa wenye uzoefu, nisaidieni kwa mawazo.
 
Kwicha maji wewe malengo yako sio ya mwanao. Usimuharibie future yake kila mtu duniani na Value zake
 
Wazao zuri..umri wake upo sahihi kabisa..chamsingi tafuta watu sahihi wa kumfundisha ulimwengu wa sasa ni wakidigitali.

#MaendeleoHayanaChama
 
hilo unalitaka wewe mzazi sababu umeona fursa je mtoto ana kipaji gani???
Ni kweli sijapenda kuangalia kipaji chake, kwa sababu hii ni 'family business' na kwa mtazamo wangu itampatia pesa nyingi bila kuwa na presha
 
Wewe mbona wazazi walikupangia maisha ukaja shule..si ungeendelea kuchunga ngombe tu..mzazi lazima awajibike kwa kutengeneza future ya mwanawe.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajiulizi swali kwa nini wanasheria watoto wao wanakuwa wanasheria, dokta watoto wake wanakuwa madaktari, mwanasiasa watoto wake wanakuwa wanasiasa n.k
 
Back
Top Bottom