John Gelas
Senior Member
- Apr 25, 2012
- 168
- 7
Ulinzi wa namna gani? Ulinzi binafsi au ktk security companies?
Kama binafsi simshauri afanye lakini kama ktk makampuni mwache afanye tu.
Changamoto
1.mshahara mdogo
2.usalama na bima kazini hawana
3.hakuna mikataba ya ajira
Ni kheri kufanya kazi halali kuliko kufanya isiyo halali,kikubwa wewe ni kumu encourage asikate tamaa,inawezekana hiyo ndio ikawa taaluma yake sasa kwanini asiifanye,isitoshe maisha magumu
Ameshapata? Kama bado wasiliana nami nimuunganishe kwenye kampuni ya ulinzi. ni- PMsante xana kwa ushaur
Ameshapata? Kama bado wasiliana nami nimuunganishe kwenye kampuni ya ulinzi. ni- PM
Ameshapata? Kama bado wasiliana nami nimuunganishe kwenye kampuni ya ulinzi. ni- PM