Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 910
- 3,143
Mimi na mke wangu jana tumegombana sasa nikawa nimempiga makofi kidogo hii ni kutokana na kumhitaji kimwili na yeye kunikatalia bila sababu za msingi.
Sasa leo nimeenda kazini kwangu, Narudi sasa hivi saa 2 usiku sijamkuta yeye na mtoto wangu wa mwaka.
Naamini ameenda kwa dada yake maana kuna siku aliniomba aende ila baada ya ugomvi wa jana nikamwambia hakuna kuondoka ila yeye ameondoka bila hata ya kuniaga na ninapoiishi si mbali na ofisi yangu ilipo.
Je? Nimpigie simu au nimuache tu mpaka arudi au nimchukulie hatua gani?
Nampenda ila sitaki mwanamke wa namna hii