Ushauri wa haraka unaombwa: Pitia hapa

Ushauri wa haraka unaombwa: Pitia hapa

Wanaume hawako tayari kujifunza kwa wengine, Wapo radhi yawakute ndo upata kujifunza [QUOTE"yellow eyes, post: 34735541, member: 479354"]
Huo ndo ushamba wa baadhi ya wanaume ambao hawajielewi, unaanzaje kuwekeza mali, akili na muda wako kwa mapenzi/ mchumba tena mwanachuo ili badae upante nini? Rubbish sana ampige chini asihesabu garama wanawake wapo wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
 
Wenye madem wanachuo msijifanye kupenda sana..binafsi na madem wachuo nikiwa nao getto chuoni uwa naona sms zenu mki bembeleeza msi salitiwa full kuhudumia wakati mwingine nazijibu mimi mwenyewe izo sms .mkipiga simu natuliza rungu langu ndani najilia kimya kimya usi sikie

inshort chuoni madem ku escape kucheat ni ngumu.. kula uende zako au subirini wamalize vyuo[emoji81][emoji81]

Time is a drug. Too much of it kills you
Daaaaaa z same to me bad enough lungu IPO ndan anamjib ex au mchumba wake hauniamin ndo kusema ....mm kumpigia demu wang wa chuo never ..piga but in short conversation..... N shidaaaa mabroooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aache ushamba wa mapenzi.
Ampige nyama chini ainue ndoo nyingine vinginevyo maumivu itakua ni sehemu ya maisha Yake.

Aache kua Baaaga
 
Back
Top Bottom