debbug
JF-Expert Member
- Jun 9, 2018
- 562
- 860
Haraka sana amuache wala asiangalie ameweka pesa kiasi gani,apotee wala asisikilize samahani yake maana tabia ya huyo hatabadilika na zaidi yake ataendelea kwa kujificha tu na jamaa atakua na mke malaya bila yeye kujua. Swala la matamanio ya sula u umbo la huyo mwanamke aliweke pembeni kabisa..kwanza hakuna mwanachuo mwaminifu ktk swala la mapenzi yeye anahangaika na mwanachuo wa nini
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Kwa ni ngumu sana kuachana? Hawajaoana. Kwanini uwekeze sana bila mkataba wa ndoa? Ajifunze kwa hilo.
Hahahaha daahh kwaiyo Kondom kaiona Jana...
Bado hajamwambia kitu demu. Kukuambia wewe??? Weee unaomba ushauri, ndio umpeleke
Ningekua Mimi....Demu Angechezea makofi makofi mazito mazito... Alafu ningejifanya kumbembeleza, ( kwasababu ni mkosaji) angekubali kunipa mzigo)
Ningemsugua kama Mbwaaa.
Alafu ningeondoka, ndo ikawa jumla ya mahusiano yetu.
Wenye madem wanachuo msijifanye kupenda sana..binafsi na madem wachuo nikiwa nao getto chuoni uwa naona sms zenu mki bembeleeza msi salitiwa full kuhudumia wakati mwingine nazijibu mimi mwenyewe izo sms .mkipiga simu natuliza rungu langu ndani najilia kimya kimya usi sikie
inshort chuoni madem ku escape kucheat ni ngumu.. kula uende zako au subirini wamalize vyuo[emoji81][emoji81]
Time is a drug. Too much of it kills you
Sasa mkuu utampelekea mawazo yahumu mangapi? Maana nasikia member wahumu sio Chini ya elfu 10 au ndio unataka ukamchanganye kabisa ajiue
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Ya Duniani yanaishia hapa hapa Mkuu .Hahaha we jamaa mhuni tu
Karma is bitch, what you throw will come back to you