Siku ukimuona yupo kwny mudi nzuuuuri basi ndo unamfanyia ivo, ndoa kujipendekeza swtiii wanaume wenyewe wa kugombania hawa,aisee hongera! picha mie haiji jaman ! mie kuna mapenzi mengine nahisg yatanikata stimu !yaan nitaimagine ana kidonda sijui namkanda vile ! yaan dah nakarahika tu ! yaan yote hyo mnatafuta vibes tu !haya nitakuja jaribu lakini had utoe somo tukuelewe wanawake wenzako maana tusijedodaaaaaaaa teh teh !
Ukituma pesa ni muhimu utume na ya kutolea kwakweli.
Dinner na lemba!!!
Nyie watu msinivunje mbavu.
Siku ukimuona yupo kwny mudi nzuuuuri basi ndo unamfanyia ivo, ndoa kujipendekeza swtiii wanaume wenyewe wa kugombania hawa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Enheeee!
Darasa mubashara. Hebu wafundishe mie nipate fursa ya biashara ya visosi.
Uroho tu ndio unamsumbua.Kaka akivuruga na watu wakajua Itabidi wamshangae kwa kweli. Swali liko pale, kama ana mke tayari kwa nini aingilie mapenzi ya wenzake?!, that's selfish.
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee hongera! picha mie haiji jaman ! mie kuna mapenzi mengine nahisg yatanikata stimu !yaan nitaimagine ana kidonda sijui namkanda vile ! yaan dah nakarahika tu ! yaan yote hyo mnatafuta vibes tu !haya nitakuja jaribu lakini had utoe somo tukuelewe wanawake wenzako maana tusijedodaaaaaaaa teh teh !
Kuna member kasema kati ya vitu vinaletaga vita na mapenzi ni mojawapo. Isije ikamletea majuto baadae.Kuna wanaume wasenge wewe, na huyo mdada akilazimisha kuolewa huyo john anaweza kumuua hata mdogo wake Hlf kesi akampa Jack, ndo maana nimesema aanze kuzoea maumivu ya kuacha mapemaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh endelea kumfundisha maana hii ni kali na hajawah kunifanyia mamboz makubwa hivUnayakanda kwa maji ya uvuguvugu, km unayabinya flani iv taratiiiibu
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee hongera! picha mie haiji jaman ! mie kuna mapenzi mengine nahisg yatanikata stimu !yaan nitaimagine ana kidonda sijui namkanda vile ! yaan dah nakarahika tu ! yaan yote hyo mnatafuta vibes tu !haya nitakuja jaribu lakini had utoe somo tukuelewe wanawake wenzako maana tusijedodaaaaaaaa teh teh !
HaturidhikiHahaha!, tukipewa ya kufanyia manicure tunataka na pedicure, tukipewa ya eyebrows tunataka na Brazilian wax!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap, ampotezee tu hakuna jinsiKuna member kasema kati ya vitu vinaletaga vita na mapenzi ni mojawapo. Isije ikamletea majuto baadae.
Mmh sio kwa kuziba hukoHahah!, umeikumbuka..
Ntaitafuta nimpe espy.
Khaaa!, imagine mtu anaenda dinner na Bonge la Lemba mpaka anawaziba waiters wanashimdwa kuona upande wa pili wa room..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe mpe huyo, asijeachika akatupaukia hapa sisi!!Siku ukimuona yupo kwny mudi nzuuuuri basi ndo unamfanyia ivo, ndoa kujipendekeza swtiii wanaume wenyewe wa kugombania hawa,
Sent using Jamii Forums mobile app