Hofu yake ni je dogo atamchukuliaje kaka yake, ikiwa ni mtu anaemuheshimu kama baba yake maana amemlea? Na je dogo atamuamini kuwa ni kweli au atamuona tu kama anajitetea tu kwakuwa tayari siri zake zishajulikana!!!Kuna badhi ya mambo omba yasikusibu
Me ningekua Jackie si nampemda mdogo mtu ningekua wazi kulinda mpenzi yangu
Madame S
Amesema akimweleza dogo ukweli atakana na kumueleza kuwa binti ni kicheche hivyo anajitetea tu ili awavuruge. Hapo ndipo taabu ilipo.Wanawake na wanaume ni wengi duniani. Ongea na John na umuambie unakusudia kumuambia mdogo wake sababu ya kuvunjika uhusiano ili J naye apime uhalali wake kumfanyia hivyo mdogo wake. Wasiwasi wangu ni kuwa dogo huyo atamtilia shaka Jackie akiisha jua nini kilikuwa kinaendelea behind the curtain of his bro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dada apime mwenyewe aone lipi sahihi kwake kwa kweliHofu yake ni je dogo atamchukuliaje kaka yake, ikiwa ni mtu anaemuheshimu kama baba yake maana amemlea? Na je dogo atamuamini kuwa ni kweli au atamuona tu kama anajitetea tu kwakuwa tayari siri zake zishajulikana!!!
hebu rudia story inasemaje kweli ili nitoe ushaul wangu momy![]()
![]()
![]()
![]()
Unaweza ukawa na umri mdogo lakini ukawa na busara,ulmawazo na hekima za kiutu uzima kabisa.