Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,049
- 132,843
Kwanza kwa kabila yetu huwa hatutangazii watu tutatoa kiasi gani kwenye misiba, huwa tunaandika tuu kwenye daftari na kutoa cash. Michango ya kutangaza ni kwenye harambee na harusi.Mleta mada naona Hujambo kwa hotuba ndefu wachaga huwa hawapendi hotuba ndefu mtu akifariki mtu akitaka kuongea kuhusu marehemu hawataki Story wanachouliza wewe uliyeguswa unachangia shilingi ngapi sio maneno mangapi? Mleta mada msiba wa ndesamburo unachangia shilingi ngapi ili huyo mzee azikwe kwa heshima zote ulizopendekeza? Msiba ni gharama wewe mselewa unachangia shilingi ngapi? Na mayala unachangia shilingi ngapi?
Wana cdm tupo na msiba mkubwa sanaCDM hawawezi kuacha kushiriki huu msiba mzito mwanzo mwisho ndio maana hata M/kiti wa chama Mh Mbowe na wana CDM wote kuanzia bungeni hata nje ya bunge wameelekea kwa mtoto wa marehemu Lucy Owenya kwa taratibu zaidi za kumpumzisha mzee.
Kwa hiyo usihofu mkuu, heshima ya mzee imezingatiwa.
R . I. P Mzee Ndesa
Hamkosagi watu kama nyinyi! Misiba sio ya kuiwekea ushabiki! Kifo hukijui...hata makaburi huyaoni?cdm walienda mzika tapeli mawazo kule mwanza waaanzaje shindwa shiriki kwa ndesa?we nae smtimes uwe unatumia akil kabla ya kuanzisha uzi humu
Unamaanisha asizikwe mkuu?cdm walienda mzika tapeli mawazo kule mwanza waaanzaje shindwa shiriki kwa ndesa?we nae smtimes uwe unatumia akil kabla ya kuanzisha uzi humu
Pole sana mkuu!Wana cdm tupo na msiba mkubwa sana
Hamjanielewa..huyu kenge kajifanya anawashauri CDM nn wafanye wakati n ipo waz kuwa CDM huu msiba umewagusa sana kulko msiba wwte ule uliowah na utakao wai tokea kwa kipind hiki.Unamaanisha asizikwe mkuu?
Tusha poa ndugu yanguPole sana mkuu!
You might be crazycdm walienda mzika tapeli mawazo kule mwanza waaanzaje shindwa shiriki kwa ndesa?we nae smtimes uwe unatumia akil kabla ya kuanzisha uzi humu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Habari za uongo utazijua tu. Zina kaformula. Kwanini points kaweka 10? Kwanini sio 11? Kwanini sio 7 au 8 au 9? Huyo mtu ni muongo na hajui kudanganya
Sawa mkuuHamjanielewa..huyu kenge kajifanya anawashauri CDM nn wafanye wakati n ipo waz kuwa CDM huu msiba umewagusa sana kulko msiba wwte ule uliowah na utakao wai tokea kwa kipind hiki.
Huyo dada YEHODAYA hayuko sawa upstairs. Bado ana athari kubwa za kutimuliwa CHADEMA.Kwanza kwa kabila yetu huwa hatutangazii watu tutatoa kiasi gani kwenye misiba, huwa tunaandika tuu kwenye daftari na kutoa cash. Michango ya kutangaza ni kwenye harambee na harusi.
Pili wewe sii ndugu, tafadhali sana usitake kuitia aibu Familia ya Ndesa kuja humu jf kuanza kuomba ahadi za michango ya rambi rambi as if Familia ndio wamekutuma uje uhamasishe ku solicit funds as if wamepungukiwa!, please uwe na heshima na misiba ya watu. Watu tunamlilia Ndesa wewe unafikiria utapiga pesa ngapi kutafuta ahadi humu jf!.
Please! .
Rip Ndesa Pesa.
P.
Mkuu, uwe na heshima, staha na ustaarabu. Mimi si kenge. Hapa ni mahali pa kubadilishana mawazo na kupashana habari. Si mahali pa kudhihakiana na kutukanana. Chunga ulimi wako Mkuu!Hamjanielewa..huyu kenge kajifanya anawashauri CDM nn wafanye wakati n ipo waz kuwa CDM huu msiba umewagusa sana kulko msiba wwte ule uliowah na utakao wai tokea kwa kipind hiki.
Huyu mzee alikuwa bilionea safi kabisa ndio maana hakutikisika alipoamua kufadhili chadema.
Mzee aliheshimika mpaka na watu wa ccm,nakumbuka kauli yake akihutubia watu wa Moshi baada ya mkutano wake kusambaratishwa"Weee Kikwete wewe unanipiga mabomu mimi???"kilichofuata tunajua
Mmmh, kama alikusudia kuandika milion kumi akasahau akaandika milioni 100 inamaana kasahau vyote yaani kwa maneno na kwa tarakimu??
Kada wa CHADEMA JF-Expert Member
[HASHTAG]#234[/HASHTAG]
51 minutes ago
Joined: Feb 27, 2016
Messages: 287
Likes Received: 582
Trophy Points: 180
- Kuna leadings ambazo zinatia shaka juu ya kifo cha mzee wetu Ndesamburo.
- Aligombea uenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini huku akikabiliwa na shutuma kuwa anakipasua chama.
- Mbunge wa Moshi Mjini Jaffar Michael alikuwa na ugomvi mkubwa na Mzee Ndesamburo na inashangaza alikuwa na mahaba naye kuanzia wiki moja iliyopita.
- Safari ya Kalist Lazaro kwenda kuchukua Fedha za Rambirambi kwa Mzee Ndesamburo imekuwa na wingu nene kwani kabla hajaenda kwa mzee Ndesamburo, alipitia nyumbani kwa Jaffar Michael haijajulikana alienda kufanya nini.
- Kalist Lazaro alipoenda kwa Mzee Ndesamburo alikuwa na hofu kubwa inayotiliwa shaka.
- Akina Lazaro walimkuta Mzee Ndesamburo anakunywa chai. Alipoingia chumbani kuchukua Check ili aandike kiasi cha fedha kuna uwezekano kuna something iliwekwa kwenye chai na ndio imesababisha umauti wake. Lazaro anajua.
- Inadaiwa kuwa Mzee Ndesamburo alikusudia kutoa hundi ya milioni 10 kwa jina la Kalist Lazaro lakini aliandika milioni 100. Alipogundua kuwa amekosea wakati tayari amemkabidhi Lazaro, alimtaka airejeshe ili arekebishe, Kalist akajifanya anaenda kwenye gari kuchukua simu. Akaondoka na cheki hiyo na hakurudi tena. Huku nyuma mzee Ndesamburo hali ilibadilika na ndipo alipokimbizwa hospitali.
- Baada ya kifo cha Mzee Ndesamburo, akina Malisa na Ali Bananga wanatumika kusambaza propaganda kuwa Mzee Ndesamburo alikuwa hajaandika Cheque. Uongo mtupu.
- Kuna taarifa kuwa fedha hizo Kalist Lazaro alienda kuzitoa kwenye Benki ya CRDB Moshi Mjini kabla ya taarifa ya kifo cha Mzee Ndesamburo kusambaa.
- Ndugu wa Mzee Ndesamburo msiharakishe kumzika mzee wenu mpaka uchunguzi juu ya kifo chake ufanyike. Kwani kuna utata umegubikwa hasa kuhusu
Ccm walibakiwa na jimbo moja tu kilimanjaroKilifuata nini? Unafiki mtupu