Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,348
- 26,145
Ins anity at higher levelcdm walienda mzika tapeli mawazo kule mwanza waaanzaje shindwa shiriki kwa ndesa?we nae smtimes uwe unatumia akil kabla ya kuanzisha uzi humu
Ushabiki maandazi huu!cdm walienda mzika tapeli mawazo kule mwanza waaanzaje shindwa shiriki kwa ndesa?we nae smtimes uwe unatumia akil kabla ya kuanzisha uzi humu
Kilifuata nini wengine hatujui....Huyu mzee alikuwa bilionea safi kabisa ndio maana hakutikisika alipoamua kufadhili chadema.
Mzee aliheshimika mpaka na watu wa ccm,nakumbuka kauli yake akihutubia watu wa Moshi baada ya mkutano wake kusambaratishwa"Weee Kikwete wewe unanipiga mabomu mimi???"kilichofuata tunajua
Kuna taarifa kuwa aliyekuwa Mbunge wa Moshi Mjini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Phillemon Ndesamburo amefariki dunia. Kila mmoja, mwanachama na asiye mwanachama wa CHADEMA atakubaliana nami kuwa Ndesamburo alikuwa mzizi mkuu na ngome ya CHADEMA mkoani Kilimanjaro na kanda ya Kaskazini kwa ujumla.
Ndesamburo alikuwa mpigania chama, mjenga chama, mfadhili wa chama na kioo cha CHADEMA. Ndesamburo ndiye aliyekuwa kielelezo cha CHADEMA kwa kauli na matendo yake. Wananchi wa huko Kilimanjaro na Kaskazini kwa ujumla walivutiwa hadi kujiunga na CHADEMA na matendo na maneno ya Ndesamburo ndani na nje ya Bunge.
Nje ya maisha ya kisiasa, Ndesamburo alikuwa mlezi, mzazi, mnyenyekevu, mcheshi, muungwana, mwenye roho isiyo na inda wala mawaa na mtu mkweli. Aliwapenda waliompenda na hata wasiompenda. Alipendwa kwakuwa alikuwa akiendana na mazingira aliyokuwamo. Ndesamburo alisaidia panapohitajika na kubuni kwa kuwapeleka wananchi wa Tanzania mbele.
Kutokana na umuhimu wake ndani ya CHADEMA na kwa demokrasia ya nchi kwa ujumla, naishauri CHADEMA iahirishe shughuli zake zote na kujihusisha na msiba huo wa Hayati Ndesamburo. Hayo yatakuwa ni malipo yake stahiki kama mwanachama wao, mlezi wao, mpiganaji/kamanda wao, mfadhili wao, kivutio chao na wakujivunia wao.
Najua, Moshi Mjini, Kilimanjaro na Kaskazini yote itatikisika kwa maombolezo. Hakika, Ndesamburo ni nembo ya CHADEMA Bungeni na nje ya Bunge katika siasa za vyama vingi hapa nchini. Rest in peace the late Phillemon Ndesamburo aka Ndesapesa!
Ni kweli kaka Pascal MayallaNaunga mkono hoja. Hata kama Chadema wenyewe waliishapanga kufanya hivyo, maandamu hakuna anayejua walipanga nini hivyo ushauri huu ni muhimu sana kuuzingatia, na sio tuu kwa heshima ya Marehemu, bali pia kwa mustakabali mwema wa majaaliwa ya Chadema mbele ya safari, kwa kuzingatia sana Tanzania tuna makabila na makabila, mila na mila na imani na imani, miongoni mwa vitu vinavyoheshimiwa sana Kanda ya Kaskazini ni misiba, hivyo ni kweli Chadema isimamishe kila kitu, na kama wanawasombaga watu kwa mabasi na malozi kuwapeleka kushiriki maandamano, sasa wawasombe kushiriki msiba huu mzito!.
Mzee Ndesa na Prof. Beregu ndio viongozi pekee wa Chadema, wenye kuonyesha ukomavu na busara za hali juu, ambao sikupata kuwaona au kuwasikia wakichangia ujinga ujinga, au akishiriki kwenye mambo ya kiajabuajabu ya kiuanaharaka wa Chadema kusiko na maslahi, he was cool, mature, sensible na very wise.
RIP Ndesa Pesa.
P.
Asante sana kwa mchango wako kwa kumuenzi mzee wetu NdesamburoKuna taarifa kuwa aliyekuwa Mbunge wa Moshi Mjini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Phillemon Ndesamburo amefariki dunia. Kila mmoja, mwanachama na asiye mwanachama wa CHADEMA atakubaliana nami kuwa Ndesamburo alikuwa mzizi mkuu na ngome ya CHADEMA mkoani Kilimanjaro na kanda ya Kaskazini kwa ujumla.
Ndesamburo alikuwa mpigania chama, mjenga chama, mfadhili wa chama na kioo cha CHADEMA. Ndesamburo ndiye aliyekuwa kielelezo cha CHADEMA kwa kauli na matendo yake. Wananchi wa huko Kilimanjaro na Kaskazini kwa ujumla walivutiwa hadi kujiunga na CHADEMA na matendo na maneno ya Ndesamburo ndani na nje ya Bunge.
Nje ya maisha ya kisiasa, Ndesamburo alikuwa mlezi, mzazi, mnyenyekevu, mcheshi, muungwana, mwenye roho isiyo na inda wala mawaa na mtu mkweli. Aliwapenda waliompenda na hata wasiompenda. Alipendwa kwakuwa alikuwa akiendana na mazingira aliyokuwamo. Ndesamburo alisaidia panapohitajika na kubuni kwa kuwapeleka wananchi wa Tanzania mbele.
Kutokana na umuhimu wake ndani ya CHADEMA na kwa demokrasia ya nchi kwa ujumla, naishauri CHADEMA iahirishe shughuli zake zote na kujihusisha na msiba huo wa Hayati Ndesamburo. Hayo yatakuwa ni malipo yake stahiki kama mwanachama wao, mlezi wao, mpiganaji/kamanda wao, mfadhili wao, kivutio chao na wakujivunia wao.
Najua, Moshi Mjini, Kilimanjaro na Kaskazini yote itatikisika kwa maombolezo. Hakika, Ndesamburo ni nembo ya CHADEMA Bungeni na nje ya Bunge katika siasa za vyama vingi hapa nchini. Rest in peace the late Phillemon Ndesamburo aka Ndesapesa!
TAPELI NI BABAKOcdm walienda mzika tapeli mawazo kule mwanza waaanzaje shindwa shiriki kwa ndesa?we nae smtimes uwe unatumia akil kabla ya kuanzisha uzi humu
ππππcdm walienda mzika tapeli mawazo kule mwanza waaanzaje shindwa shiriki kwa ndesa?we nae smtimes uwe unatumia akil kabla ya kuanzisha uzi humu
Nini sasa kilichofuata? Au kuanzishwa vuguvugu la waliosaini mikataba ya kifisadi ya sheria za madini?Huyu mzee alikuwa bilionea safi kabisa ndio maana hakutikisika alipoamua kufadhili chadema.
Mzee aliheshimika mpaka na watu wa ccm,nakumbuka kauli yake akihutubia watu wa Moshi baada ya mkutano wake kusambaratishwa"Weee Kikwete wewe unanipiga mabomu mimi???"kilichofuata tunajua
Leo umetuliaNaunga mkono hoja. Hata kama Chadema wenyewe waliishapanga kufanya hivyo, maandamu hakuna anayejua walipanga nini hivyo ushauri huu ni muhimu sana kuuzingatia, na sio tuu kwa heshima ya Marehemu, bali pia kwa mustakabali mwema wa majaaliwa ya Chadema mbele ya safari, kwa kuzingatia sana Tanzania tuna makabila na makabila, mila na mila na imani na imani, miongoni mwa vitu vinavyoheshimiwa sana Kanda ya Kaskazini ni misiba, hivyo ni kweli Chadema isimamishe kila kitu, na kama wanawasombaga watu kwa mabasi na malozi kuwapeleka kushiriki maandamano, sasa wawasombe kushiriki msiba huu mzito!.
Mzee Ndesa na Prof. Beregu ndio viongozi pekee wa Chadema, wenye kuonyesha ukomavu na busara za hali juu, ambao sikupata kuwaona au kuwasikia wakichangia ujinga ujinga, au akishiriki kwenye mambo ya kiajabuajabu ya kiuanaharaka wa Chadema kusiko na maslahi, he was cool, mature, sensible na very wise.
RIP Ndesa Pesa.
P.
Kwani huwa hatulii au humuelewi tu?Leo umetulia
Huyo jamaa hatulii nami namuelewa vizuri sana kupitia nature ya kazi yakeKwani huwa hatulii au humuelewi tu?