Ushauri wa dada

Ushauri wa dada

Kwa sasa anakuita dogo ukioa atakuita kaka kwa ambavyo sura itakavyo kuwa imechakaa kama mbwa aliyekosa matunzo
 
Mkuu watu kibao wameoa na wanang'ara kama Foma dazzle!. Hizi kauli za kutishana sasa
 
Wacha kwanza wapige usichana wakisha fika 26-30 maombi kwa wingi wakifikisha 31-35 kuvunja nazi kwa wingi hua kwa babu hawatoki na wanasema wamerogwa kumbe mda unawaaga,wengine wanavyo chagua sasa mimi yule hata gari hana,wakati yeye shule kaishia la 7 mwengine aaaah mweusi nae yule ataniharibia wanangu watakua kama wajaluo mda unakwenda hapooo,matokeo yake wanampata mume siku ya harusi anachezaaaaaaa mpaka unashangaa kwani huyu alikua na ahadi siku yangu ya harusi watanitambua..? manake niku cheza kila nyimbo kwa jazbaaaa.lol
 
duuh harusi ya 2M ?? labda utatulisha mikate na chai,kweli FN 200 haijakuacha salama kabisa si kwa ubahili huo
Milion 2 ni pesa nyingi sana kwa kula na kunywa hasa kwa watu wa vijijini tunaopedwa uji wenye sukari nyingi. Otherwise labda unataka nimlete Mic Pilipili na Harmorapa!
 
Wacha kwanza wapige usichana wakisha fika 26-30 maombi kwa wingi wakifikisha 31-35 kuvunja nazi kwa wingi hua kwa babu hawatoki na wanasema wamerogwa kumbe mda unawaaga,wengine wanavyo chagua sasa mimi yule hata gari hana,wakati yeye shule kaishia la 7 mwengine aaaah mweusi nae yule ataniharibia wanangu watakua kama wajaluo mda unakwenda hapooo,matokeo yake wanampata mume siku ya harusi anachezaaaaaaa mpaka unashangaa kwani huyu alikua na ahadi siku yangu ya harusi watanitambua..? manake niku cheza kila nyimbo kwa jazbaaaa.lol
Mkuu wamekusikia[emoji859][emoji859]
Screenshot_20181002-095519.jpeg
 
"Uoe mdogo wangu, familia ina raha yake kiukweli maisha ya ndoa ni matamu sana. Shauri yako, utanikumbuka dada yako"
Kwanamna nyingine anataka uepukane na kuzini,pia uoe ili uepuke magonjwa dunia imebadilika,ndo maana kakazia _utamkumbuka"kusema laiti ningejua ningemsikiliza Dada.
 
Sawa mkuu lakini haya mambo si ya kushauriwi inabidi mtu ujiandae na ujipime kama una uwezo wa kuingia huko. Sidhani kama kuoa kwa ajili ya ngono ni uamuzi sahihi.
 
Kujiandaa ni muhimu sana,ushauri wa Dada anataka ufikirie suala hilo kwa kina,huku unajipanga haijalishi uoe lini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom