Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,352
Katika hilo mkuu, ikiwa ni kweli. Sasa si watu watafanyiana sana michezo michafu? Dunia itakalika kweli? Kwamba mtu ana chuki na fulani anaamua tu kuacha ujumbe kajiua kisa fulani amemfanyia hiki, huoni wengi wataonewa na mzani huu utawa favor wachache?Apo binti akipata washaur wazur,
Hao jamaa uko polisi zitawatoka Zaid ya million kumaliza Iyo kesi, watajutia Bora hata ile laki yao wangesamehe.
Waombe TU,
binti akae nalo moyoni na wala asije kujiua.
Ila akijiua na akaacha ujumbe,
Iyo kesi ya mauaji hawachomoki wanaozea jela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Ni nature,Ila mikono ya kupokelea hela ananiletea mezani au sio?[emoji3] mkuu its a new world, tuna save muda na energy, mtu humpendi unamchana, kama unampenda unamkubali.
Sasa hela ni yangu halafu nianze tena kuhangaikia mzigo kweli? Sasa hela inanisaidia nini? Huyo mwanamke sio mtoto mdogo kusema hajui whats next.
Ila walichofanya hao jamaa si uungwana hata kidogo. Ni adhabu ya kinyama sana kwa kosa dogo tu la kula laki. Bila shaka ni wavuta bangi. Na ndio maana wote wamemuingilia kavu pasi kujali magonjwa.Usikute Ni yeye, kaja kupata uungwaji mkono kea ubakaji aloufanya[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu[emoji1787][emoji1787] sio mimi ni jirani hapa siunajua maisha ya uswahilini vijana wahuni sana.Usikute Ni yeye, kaja kupata uungwaji mkono kea ubakaji aloufanya[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unauzoefu wa hizo kesi,Wanaweza wakathibitisha kuingiliwa, je kuthibitisha kwamba aliyemuingilia ni fulani ni ngumu
Akili fyatu kabisa,Ila walichofanya hao jamaa si uungwana hata kidogo. Ni adhabu ya kinyama sana kwa kosa dogo tu la kula laki. Bila shaka ni wavuta bangi. Na ndio maana wote wamemuingilia kavu pasi kujali magonjwa.
Sio kusapot mkuuMijitu ya Hivi inakera Sana,
afu mtoa mada nae Ni wale wale anasapoti upumbavu ule[emoji3525]
Sent using Jamii Forums mobile app
SahihiHiyo Ni nature,
Wanaume tumeumbwa kutoa, wanawake wameumbwa kupokea.
Kwaiyo wee ukitoa atapokea TU,
tujifunze tu mbinu za medani kuwin ushawishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Ni wahuni kwann unawasapoti, huoni nawe unakua kundi moja na hao wahuni.Mkuu[emoji1787][emoji1787] sio mimi ni jirani hapa siunajua maisha ya uswahilini vijana wahuni sana.
Mimi sikuwepo nilikataa kushiriki maana najua demu naweza kufanya ikawa kesi nikaishia jera.Mtoa mada si shosti ake na wabakaji usikute alikuemo
Kabisa...wanajua kabisa kuwa mwanaume anakuja kutaka mbususu story ndefu za nini. Pesa inatakiwa kurahisisha uvuwaji chupi kwa mwanamkeIla mikono ya kupokelea hela ananiletea mezani au sio?[emoji3] mkuu its a new world, tuna save muda na energy, mtu humpendi unamchana, kama unampenda unamkubali.
Sasa hela ni yangu halafu nianze tena kuhangaikia mzigo kweli? Sasa hela inanisaidia nini? Huyo mwanamke sio mtoto mdogo kusema hajui whats next.
Mahakama nyingi za shit hole countries hazitendi haki.Kama unauzoefu wa hizo kesi,
hainaga haja ya kuthibitisha alieingia Ni Nani mpk mwende kwa mkemia mkuu.
Sasa mpk kesi ifike huko, tayar ushaumia Sana maana mahakama zetu hizi huwa ziko fasta Sana kufanya maamuz kwa kesi zenye attention Kama hizo
Rejea kesi ya mimba za wanafunzi,
Mtu anagongwa nyundo 30 jela hata mtoto hajazaliwa Wala kuthibitishwa Ni dam yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wengine awaijui hata jamii forum ni nini sembuse uzi wa riki boyUzi wa rikiboy unapage zaidi ya 5,000 na comments zaidi ya laki.
Umeshindwa hata kupata idea moja ya kumega tunda kimasihara, ndo ukaishia kwenye huo ubakaji[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe pole na mtoa mada maana tayar keshajipiga ban humu jf.Aisee..pole kwa bidada
Hawezi....kashafumulkwa marinda na kugegedwa na wanaume nane hiyo nguvu anaipata wapiMimi sikuwepo nilikataa kushiriki maana najua demu naweza kufanya ikawa kesi nikaishia jera.
KabisaAkili fyatu kabisa,
Apo Kama binti kaungua ni rahisi kwasambazia kirusi wote waloshiriki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siwezi shirikiUyo usikute nae ni mmoja wapo,
anatafuta uungwaji mkono wa upuuz aloufanya kwa wanaJF[emoji3525]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Ni Nini?Sio kusapot mkuu
Inasikitisha sana kwakweriDuuh,huu ni unyama[emoji33][emoji33][emoji45]