Ushauri wa bure kwa Wanawake

Demu kamaliza chuo hana kazi yupo tu kwao atatolea wapi laki moja na ushee
Apo binti akipata washaur wazur,
Hao jamaa uko polisi zitawatoka Zaid ya million kumaliza Iyo kesi, watajutia Bora hata ile laki yao wangesamehe.

Waombe TU,
binti akae nalo moyoni na wala asije kujiua.

Ila akijiua na akaacha ujumbe,
Iyo kesi ya mauaji hawachomoki wanaozea jela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine hata Ni wee ndio umefanya unyama huo na unajuwa kbsa kila siku nyuz zimo huku za kula kimasiara

Mwabie hyu dad kuwa aende police aripoti atafuta mpelelezi mzuri tu awajambishe hao unaowaita miamba
Mkuu kufungua kesi ni jambo kubwa sio kila mtu anaweza.
 
Wanauza mali za familia ili watoe rushwa au sio?[emoji23] hapo mbona sioni kesi ya kutisha mm. Sema tu ni vile watoto wa masikini ndio kama wanaoonewa na sheria. Binafsi mwanamke akienda kinyume na makubaliano yangu reaction yake haitofautiani sana na hiyo. Ila hao ni too much
 
Nyie watu acheni dhambi wanaume 8 demu 1 alafu unajisikiaje wakati unatambua Mungu anakuona direct duuh binafsi hata nipigwe billioni moyo huo sina kikubwa namuingiza 18 wiki nzima yupo nami
Uzi wa rikiboy una maelfu ya comments,
Anashindwa hata kachukua mbinu 10 amiungize king amle kimasihara na Maisha yaendelee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna watu wanaroho ngumu demu kaingiliwa na wanaume 8 katoka getto analia mashuka yamejaa damu, msera mwenyewe anasema hivyo ndio safi kwa mademu wenye tabia hiyo.
Duuh,huu ni unyama[emoji33][emoji33][emoji45]
 
Mwanaume Lazima utumie akili kuomba mzigo,
Hao jamaa wote Ni MADOMO zege, Hakuna mwanamke anakuletea mzigo mezani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mikono ya kupokelea hela ananiletea mezani au sio?[emoji3] mkuu its a new world, tuna save muda na energy, mtu humpendi unamchana, kama unampenda unamkubali.

Sasa hela ni yangu halafu nianze tena kuhangaikia mzigo kweli? Sasa hela inanisaidia nini? Huyo mwanamke sio mtoto mdogo kusema hajui whats next.
 
Huyu jamaa alaaniwe sana
Na nakwambia Hii ngoma bado mbichi, vinginevyo Dem akose washauri na asiende hospital kutibiwa

Dokta akisikiliza TU maelezo yake Lazima agome kumtibia mpk pf3 iwepo.

Siku Si nying
Hii I'd ya jamaa ukiona haiko hewani ujue tayar jamuhuri washamtia mikononi.

Cha kufanya amtafute binti aombe msamaha HARAKA Sana na akamtibie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…