Ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu, katika mahusiano

Ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu, katika mahusiano

Jiggy El Jefe

Senior Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
143
Reaction score
170
8b469aae4d202eee6c9c8cc2d3945888.jpg
 
Tutumie kilainishi kipi...?
Mate/ sabuni/ kamasi/ lotion/ mafuta ya kula/ juice.
 
Idea yako haina mantiki. Ahadi ya maisha bora, kujali n.k ndio kichijio bila kusahau kuoa. Yani ni hatariiiiiiiiiii
 
wee...piga,tuu...mkuu..usituhusishe...sie,tuna...hela.
 
Wanaume wengi huo wafanyakazi wa ndani. Kwa kujua ama kutojua. Utakuta mtu kaoa msichana kutoka kijijini anaemuita ana malezi mazuri kisa tu anafanya anayoyataka yeye (mwanaume) bila kipingamizi.
Na mwanaume huyo huyo akijisikia kula Bata anatafuta hao wote ulioshauri wasiolewe. Yule mwenye tabia nzuri kwa mitazamo ya wengi,mvaa mabui bui, atabaki home apike asafishe afue asubiri bwana atakaerudi muda autakao na haruhusiwi kuuliza. Akiuliza..... usioe.
 
Huu ni ushauri mzuri na unakaukweli. Unajua wanaume tukiwa na hamu zetu huwa tunajikuta tunaropoka tu mbele ya mwanamke.

Lakini sitaufanyia kazi.
 
Huu ni ushauri mzuri na unakaukweli. Unajua wanaume tukiwa na hamu zetu huwa tunajikuta tunaropoka tu mbele ya mwanamke.

Lakini sitaufanyia kazi.
Iko wazi mkuu, Mwanaume kwenye kutaka kitu kwa mwanamke, yuko radhi kuahidi vitu ilimradi apate anachotaka, vitu ambavyo mara nyingi tunajuta baada ya kupizz maana unaona ni kawaida sana...

Ushauri wa nyeto sio sahihi, sema imetumika tu kama kielelezi cha kuonesha kwamba tunapelekeshwaga sana na Nyeg.e
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Back
Top Bottom