MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,556
Kwanza poleni sana wadogo zangu sababu mmeanza kupigwa danadana mda mrefu sana.niwakati wakuweka vyeti vyenu kando naku assume umeishia darasa la saba hapo najua mtapata akili za kuanza maisha kwani kuna watu wengi hawajasoma kabisa but wana maisha ya kawaida hawalali njaa..acheni kabisa kuifikiria serikali sababu viongozi wote wakubwa wa nchi hii usiku hawalali wanafikiria kesho waje na uongo gani ili wawadanganye ndo mana kila cku wimbo wao ni ule ule"SERIKALI KUMWAGA AJIRA MWEZI UJAO"...HUU WIMBO HAUTABADILIKA KAMWE....KILA LA KHERI NA MUNGU AWASAIDIE