OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,344
please can we stop talking about her??
Yes and now!
please can we stop talking about her??
Atawamaliza nyie mnayekwenda naye peku peku.
M nimetoka leo kwenye Ban napita tu...
Mkuu Patriote kama jina lako, nakupongeza kabisa kumpa darasa huyo kigoli mdogo ambaye kimaisha hajafika popote!! Kwanza huyu kalelewa na nani mtoto asiyekuwa na adabu, maisha gani aliyoishi tangu akiwa mtoto??? Naomba mwenye record ya huyu Shonza atuwekee hapa, nina wasiwasi huyu ni changudoa sio mtoto mwenye malezi ya kiutu hasa!!! Bila shaka amekuelewa kwa hiyo inabidi ajifunze jinsi ya kuishi na watu, kama alinyanyaswa kijinsia na wakubwa zake ofisini kwa nini asiende polisi akimbilie hapa kwenye jukwaa kumwaga uchafu wake??? Anabidi atulie ajifunze, aachane kabisa na siasa za Mwigulu za matusi hazitamfikisha popote!!!!Habari yako
Nimejitolea kukupa ushauri wa bure baada ya kuona unazidi kujipaka matope!!Inawezekana hujui unachokifanya kwa sababu ya ushamba wako wa kisiasa, ila watu waliobobea kwenye siasa wanashauri uongee sana ila ukumbuke kubakisha na ya kuongea kesho.Nimekuwa nikufwatilia maandiko yako mengi sana toka wakati ule mmeanza kutoboa jahazi tulilopanda hadi sasa tulipoamua kuwatosa. Kwa tabia mnazozi onyesha, mtu mwenye akili timamu hawezi kushangaa kwanini mmemiminwa na CDM. Tena tunashangaa tuliwezaje kukupa uongozi mtu wa aina yako, hili linatukumbusha kuwa makini huko mbeleni ili tusijetukakabidhi uongozi watu wendawazimu.Kimsingi wengi tunaona chama chetu kilikuwa hatarini kwa kuongozwa na mtu wa aina yako na tunaushukuru uongozi kwa kukubaini mapema na kukutimulia mbali.
Haya unayoyafanya leo kwa CDM, unawezadhan yana kujenga huko CCM ila watu wenye busara hukohuko ulipo, wanaona NGETWA imehamiaCCM, wanaona hujakomaa kisiasa kwa hiyo tabia yako ya kuropokaropoka na hivyo hutoaminiwa huko CCM pia. Ndugu yangu unapoacha mke au mume si busara kupita kila kona nakuelezea yale ya ndani maana wakisikia wengine watakukimbia kuwa ukija achananao pia ndicho utachokifanya, basically you ruin your ownpolitical future. Siasa yahitaji uvumilivu, siasa inahitajiukomavu wa kifikra na wa kimaono.
CCM inakufurahia leo hii wewe kwao ni mpya nawanadhan kwa kuwa nawe wataibomoa CDM, hilo halipo na wengi tu ndani ya CCM wanaamini kuwa hutowezesha lolote katika kuizamisha CDM (you are just sisimizi as previously said) na wala porojo zako huzitowezesha lolote katika kuiinua CCM kulingana na hali ilivyo sasa.Porojo zako zitakapopoteza mvuto, utarudi kwenye shughuli za kawaida za chamachako kipya CCM na watarecall back tabia yako na kukuona you are unreliable and untrustworthy person. Siasa haichezwi hivyo ndugu, wewe sio wa kwanza kutimuliwa. Angalia wenzako wakina David Kafulila, sio kuwa hawajui mapungufu ya CDM, sio kuwa hawajui kuongea na kujenga hoja kama wewe ila wenzako wameamua kubakisha ya kuongea kesho.
Leo hii Kafulila akitimuliwa NCCR anaweza piga hodi CDM na akapokelewa tena kwa mbwembwe kama mwana mpotevu. Mrema akitimuliwaTLP anaweza akapokelewa CCM kwa mbwembwe km mwana mpotevu, unadhan ni kwanini??Hawa wote hata kama wamepinga vyama walivyotoka, wao walipinga vyama vyao kama taasisi na sio personal attacks. Unapoacha kuulaumu mfumo/CDM kama chama na kukurupukia watu na kuwatukana matusi ya nguoni, mara huyu Mr Zero, Mara huyu Mvuta Bangi, Mara huyu mpora wake za watu/mzinzi. Je huko uendako nani msafi???? Nchemba?? JK?? Mzee Mkapa??Mzee Mwinyi?? Hebu fikiria wazee wa CCM wenye busara wanapokusikia unabwabwaja hivyo majukwaan na kwenye media, wewe unadhan wanafurahia na kuthamini mchango?? Watanzania wa kawaida tu hawakuelewi achilia mbali mature politicians!
Huoni kuwa hata huko wanakuona hamnazo???Unajiwekea mazingira magumu ya kucheza siasa, Siasa sio uadui. Hiv kwa unayoyafanya hata ukiwa mbunge huko CCM kweli utaweza salimiana na hawa unaowatukana matusi ya nguoni???Hii dunia tunapita tu si vyema kujitengenezea maadui bila sababu za msingi. Mimi nadhan unahaja ya kutafakari nyendo zako, sina hakika sana kama hayo uyafanyayo ni moja kati ya vigezo vya siasa safi. You are playing dirty politics and looking for cheap popularity.
Habari yako

Kwa maono yake anadhani keshavuka mto, anachokisahau ni kwamba huko alipo soon watakuwa chama cha upinzani pia. Ni mgeni kwenye siasa, angekuwa wa siku nyingi ndani ya siasa angekumbuka yaliyokifika chama cha KANU nchini Kenya.Anatukana mamba wakati hajavuka mto. looooooooo.
Haya sasa ni maneno ya kike!! Sio lazima kila hoja na wewe uweke neno. Hoja nyingine kubali kuzisoma tu sio lazma uandike kitu, kama unaona hoja huielewi pita zako tu huwezi kufutwa uanachama humu kwa kutopost kitu.Mkuu una gubu kama la mume aliyekimbiwa na bi mzuri.
Wewe jali ya kwako, na pili pili ya shamba ya kuwashia nini?
Mkuu hizo ni sera za Mwigulu na Nape kama sio wanaomwezesha angeendaje huko kote???Sera za matusi zimeletwa na hao wanaojifanya wana CCM!!! Tunaililia CCM yetu ya Mwl kweli hawa jamaa wameamua kuiuwa, kwa wizi, rushwa , ufisadi, mauwaji, dhuluma za mali za watu sasa wanaendelea za sera za matusi kwa watu!!!!ni ujuha kumdhamini, azunguke nchi nzima kwa fedha za walipa kodi ili kutoa matusi kwa mpinzani wako, only juhaa can do it.
kwani amekanyaga waya wa tansesco?
Habari yako
Nimejitolea kukupa ushauri wa bure baada ya kuona unazidi kujipaka matope!!Inawezekana hujui unachokifanya kwa sababu ya ushamba wako wa kisiasa, ila watu waliobobea kwenye siasa wanashauri uongee sana ila ukumbuke kubakisha na ya kuongea kesho.Nimekuwa nikufwatilia maandiko yako mengi sana toka wakati ule mmeanza kutoboa jahazi tulilopanda hadi sasa tulipoamua kuwatosa. Kwa tabia mnazozi onyesha, mtu mwenye akili timamu hawezi kushangaa kwanini mmemiminwa na CDM. Tena tunashangaa tuliwezaje kukupa uongozi mtu wa aina yako, hili linatukumbusha kuwa makini huko mbeleni ili tusijetukakabidhi uongozi watu wendawazimu.Kimsingi wengi tunaona chama chetu kilikuwa hatarini kwa kuongozwa na mtu wa aina yako na tunaushukuru uongozi kwa kukubaini mapema na kukutimulia mbali.
Haya unayoyafanya leo kwa CDM, unawezadhan yana kujenga huko CCM ila watu wenye busara hukohuko ulipo, wanaona NGETWA imehamiaCCM, wanaona hujakomaa kisiasa kwa hiyo tabia yako ya kuropokaropoka na hivyo hutoaminiwa huko CCM pia. Ndugu yangu unapoacha mke au mume si busara kupita kila kona nakuelezea yale ya ndani maana wakisikia wengine watakukimbia kuwa ukija achananao pia ndicho utachokifanya, basically you ruin your ownpolitical future. Siasa yahitaji uvumilivu, siasa inahitajiukomavu wa kifikra na wa kimaono.
CCM inakufurahia leo hii wewe kwao ni mpya nawanadhan kwa kuwa nawe wataibomoa CDM, hilo halipo na wengi tu ndani ya CCM wanaamini kuwa hutowezesha lolote katika kuizamisha CDM (you are just sisimizi as previously said) na wala porojo zako huzitowezesha lolote katika kuiinua CCM kulingana na hali ilivyo sasa.Porojo zako zitakapopoteza mvuto, utarudi kwenye shughuli za kawaida za chamachako kipya CCM na watarecall back tabia yako na kukuona you are unreliable and untrustworthy person. Siasa haichezwi hivyo ndugu, wewe sio wa kwanza kutimuliwa. Angalia wenzako wakina David Kafulila, sio kuwa hawajui mapungufu ya CDM, sio kuwa hawajui kuongea na kujenga hoja kama wewe ila wenzako wameamua kubakisha ya kuongea kesho.
Leo hii Kafulila akitimuliwa NCCR anaweza piga hodi CDM na akapokelewa tena kwa mbwembwe kama mwana mpotevu. Mrema akitimuliwaTLP anaweza akapokelewa CCM kwa mbwembwe km mwana mpotevu, unadhan ni kwanini??Hawa wote hata kama wamepinga vyama walivyotoka, wao walipinga vyama vyao kama taasisi na sio personal attacks. Unapoacha kuulaumu mfumo/CDM kama chama na kukurupukia watu na kuwatukana matusi ya nguoni, mara huyu Mr Zero, Mara huyu Mvuta Bangi, Mara huyu mpora wake za watu/mzinzi. Je huko uendako nani msafi???? Nchemba?? JK?? Mzee Mkapa??Mzee Mwinyi?? Hebu fikiria wazee wa CCM wenye busara wanapokusikia unabwabwaja hivyo majukwaan na kwenye media, wewe unadhan wanafurahia na kuthamini mchango?? Watanzania wa kawaida tu hawakuelewi achilia mbali mature politicians!
Huoni kuwa hata huko wanakuona hamnazo???Unajiwekea mazingira magumu ya kucheza siasa, Siasa sio uadui. Hiv kwa unayoyafanya hata ukiwa mbunge huko CCM kweli utaweza salimiana na hawa unaowatukana matusi ya nguoni???Hii dunia tunapita tu si vyema kujitengenezea maadui bila sababu za msingi. Mimi nadhan unahaja ya kutafakari nyendo zako, sina hakika sana kama hayo uyafanyayo ni moja kati ya vigezo vya siasa safi. You are playing dirty politics and looking for cheap popularity.
Ngoja tumuache dunia imfunze!!Patriote huwa hasikii huyo dada. Kwa ushauri ambao huwa anapewa humu JF, alipaswa kuwa amebadilika. Lakini ndo hivyo tena sikio la kufa halisikii dawa. Sidhani kama mawazo yake ni kufanikiwa katika siasa kwa sababu kama ingelikuwa ni hivyo, asingekuwa anafanya hayo anayoyafanya kwa sasa, hasa hasa hilo la kutukana watu wazima!
Haya sasa ni maneno ya kike!! Sio lazima kila hoja na wewe uweke neno. Hoja nyingine kubali kuzisoma tu sio lazma uandike kitu, kama unaona hoja huielewi pita zako tu huwezi kufutwa uanachama humu kwa kutopost kitu.
Wewe ni Juliana??? Mbona unaonekana nawe pia umeamua kuwashwa na pilipili iliyoshambani??Dah!! kweli nyani haoni ku....le
juliana atawamaliza mwaka huu, mliyataka wenyewe