Ushauri wa bure kwa Rich Mavoko

Kaka umemaliza kila kitu
 
Kwa huu wimbo wa kokoro muje tena kuandika Uzi mwingine wa kuchukua tuzo hizo zingine amepiga sana wacha afanye business tukutane kwenye mafanikio
 
Usifikiri kila aliye apa analipwa ni ushabiki tu next tym think twice kabla hujaropoka
Usiisaliti nafsi yako kwa unafiki unaoufanya hapa,wewe unatambua fika kwamba hapa unatekeleza majukumu yako ya kazi na unapata ujira kwa hili unalolifanya.
 
We humpendi Mavoko acha kutudanganya
 
tatizo team kushindwa mnalazimisha mavoko
awe kama king kimba!
mziki bila mafanikio ni sawa na bure!!
mtueni mavoko, mwenye shida na mziki wake atausikiliza asietaka aache!!!!!
msipangie watu cha kuimba
 
Kweli mavoco wa baby you marry me ni tofauti na kokoro naona kuingia wasafi kabweteka anahitaji kujituliza nakuja na vtu vzuri zaidi . hyo kokoro haieleweki
Watu kazi kuponda tu nyimbo ambàyo kila mtaa tz nzima inapigw hii nyimbo
 
Watz kwa wivu mtoto wa kiume tabia za dada yako nyimbo kila kona.inapigw we unasema kazingua akati mavoko alishapotea hii nyimbo ni nzur sana kwanzia melody mpaka mashair creative sana zigo lakuvunja chaga
 
Kuna interview alifanya na EATV aliongelea hilo, akasema kama target yako ni Bongo basi imba ya mashairi ila kama unataka nyimbo iuzike nje ya Bongo then inabd iwe simple
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…