We team gani kwanza, tuanzie hapo..!
Ndo wimbo wa kwanza wa rich kupigwa kwny vituo vkubwa vya nje so sijui ubaya wake uko wapi wakati ata kitaani unapigwa sana punguzen mihemuko.....ana nyimbo nzuri sawa ila kokoro umevuka boda
Huyu dogo naona anabadilisha aina ya muziki kwa kutarget aina fulani ya soko na ukijumlisha na promotion kubwa kibiashara pengine itamlipa but kwa mtazamo wangu nadhani wimbo wa mwisho mzuri alitoa nahisi unaitwa PACHA WANGU kama sijakosea.Richard Mavoko ni mmoja wa waimbaji wazuri sana hapa bongo. Binafsi namkubali sana. Kaka nakushauri tuliza kichwa tunga wimbo mwingine mzuri, wapenzi wako hatujaridhika na wimbo wako wa Kokoro.
Mavoko una nyimbo nyingi nzuri ulizoimba mwenyewe na kushirikishwa ila huu wa sasa mmmmh.
Dushelele Ni niniKokoro n nn
Alivyokuwa na nyimbo nzuri zilimfikisha wapi?Kwl Richard ananyimbo nzuri before kuwa na diamond naona anavuruga alivyoenda tandale
Sio kweli lete ushahidi hapa acha maneno ya kwenye kangaWANAIGA WANAIGERIA
Huwez zungumzia positive ?au shida yako atoe nyimbo 20 kwa mwaka.?Hawezi kutoa nyimbo hadi uongozi useme hapo ndiyo Diamond atabaki kuwa on top wa bongofleva,
Hayo ndiyo madhara ya kusagn mikataba bila kufikiria mbele
Wimbo mzuri ndio nini?Huyu dogo naona anabadilisha aina ya muziki kwa kutarget aina fulani ya soko na ukijumlisha na promotion kubwa kibiashara pengine itamlipa but kwa mtazamo wangu nadhani wimbo wa mwisho mzuri alitoa nahisi unaitwa PACHA WANGU kama sijakosea.
Haieleweki vp yani?Kweli makovo wa baby you marry me ni tofauti na kokoro naona kuingia wasafi kabweteka anahitaji kujituliza nakuja na vtu vzuri zaidi . hyo kokoro haieleweki