Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,353
- 6,977
Nawasihi vijana wenzangu wenye nia ya kuoa,
Nafahamu kabla ya ndoa kuna kile kipindi cha uchumba na kuchunguzana. Naomba muwe makini na watulivu katika kipindi hiko, mkijichanganya tu imekula kwenu. Wanawake wengi wanaitaka ndoa lakini kusimamia misingi ya ndoa imekua tatizo.
Kuweni makini na ma X wa mpenzi wako ambao wapo kwenye kitabu chake cha simu. Hawa mara nyingi mkigombana ndiyo hua kimbilio lake la kwanza kutafuta wa kumfariji.
Kuwa makini na yule X ambaye bado yupo kwenye mawasiliano yake ya simu na anawasiliana naye. Ukimuuliza kwanini hajafuta namba yake mara nyingi majibu ya hawa mabinti ni hua, "Siwezi futa namba ya mtu wakati hatukuachana kwa ubaya, siwezi jua kesho atakuwa na msaada gani kwangu," like WTF!
Kama hawajaachana kwa ubaya kwanini mapenzi yao hayakuishia kwenye ndoa? Ukituliza akili utagundua tu kuwa huyo ndiyo mwanaume wa ndoto zake, kwako amejiegesha kutafta stara ya ndoa tu.
Kijana shtuka mapema, kuna mwenzetu analia na kusaga meno huku. Amechanganyikiwa kabisa hapa, baada ya kukuta mazungumzo ya ma X zisizoeleweka!