Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,055
Reaction score
16,509
Sitaki kuusemea mchakato ulivyoendeshwa sababu hata sijui hizi kazi zilitangazwa lini. Ila nachotaka kuwashauri ni muwe wavumilivu. TRA huwa inachukua watu kwa batches.

So hii ni batch ya kwanza na inawezekana kukawa na batches kama mbili au tatu, hivyo msikate Tamaa. Kuweni wavumilivu kidogo.

Ni hayo tu

NB: TRA kimaslahi ni pa kawaida sana, hata bank teller wa CRDB bank kamuacha mbali sana officer wa TRA, jina lisiwatishe.
 
sitaki kuusemea mchakato ulivyoendeshwa sababu hata sijui hizi kazi zilitangazwa lini.
ila nachotaka kuwashauri ni muwe wavumilivu..tra huwa inachukua watu kwa batches..so hii ni batch ya kwanza na inawezekana kukawa na batches kama mbili au tatu..so msikate Tamaa..kuweni wavumilivu kidogo.
ni hayo tu
nb:TRA kimaslahi ni pa kawaida sana,hata bank teller wa crdb bank kamuacha mbali sana officer wa tra..jina lisiwatishe
Tang'ana sijawahi kuona post yako jukwaa jingine tofauti na humu,

Ahsante kwa ushauri bro
 
umeandika vizuri sana bila hata chembe ya kejeli. ubarikiwe
 
Waalimu wanaanza na 716,000
TRA wanaanza Na Sh. 1.2 Milion + Transport allowance sh. 84,000 na housing Allowance sh.96,000 Siyo Hela ndogo kwa Mimi Ambaye sijaoa na sina hata Mchumba labda nimpate kesho wakati wa Kuchukua Barua.

Hii Si tetesi Kuna vijana wa DSM ile wakati wanasoma chuo cha Kodi kwa Miezi 12 wanatokea Home wameweza Kununua Viwanja

Kuna SACCOS ya TRA Kubwa sana Ina Offer Mikopo ya riba ndogo.
 
Ushauri wako `unatia moyo kwelikweli' ila kuweni wavumilivu tu sababu kesho inaweza kuwa zamu yako. Kuhusu maslahi nadhani hilo lipo wazi kwa hata mtoto mdogo na ndio maana mlikua mnapakimbilia.
 
Waalimu wanaanza na 716,000
TRA wanaanza Na Sh. 1.2 Milion + Transport allowance sh. 84,000 na housing Allowance sh.96,000 Siyo Hela ndogo kwa Mimi Ambaye sijaoa na sina hata Mchumba labda nimpate kesho wakati wa Kuchukua Barua.

Hii Si tetesi Kuna vijana wa DSM ile wakati wanasoma chuo cha Kodi kwa Miezi 12 wanatokea Home wameweza Kununua Viwanja

Kuna SACCOS ya TRA Kubwa sana Ina Offer Mikopo ya riba ndogo.
acha kuandika story za kuambiwa...nifuate PM nikuonyeshe salary slip ya mtu kama hujazimia
 
Waalimu wanaanza na 716,000
TRA wanaanza Na Sh. 1.2 Milion + Transport allowance sh. 84,000 na housing Allowance sh.96,000 Siyo Hela ndogo kwa Mimi Ambaye sijaoa na sina hata Mchumba labda nimpate kesho wakati wa Kuchukua Barua.

Hii Si tetesi Kuna vijana wa DSM ile wakati wanasoma chuo cha Kodi kwa Miezi 12 wanatokea Home wameweza Kununua Viwanja

Kuna SACCOS ya TRA Kubwa sana Ina Offer Mikopo ya riba ndogo.
kama Huna mchumba naomba nikupe mdogo wangu wa kike ,NIpate shemeji wa TRA
 
Waalimu wanaanza na 716,000
TRA wanaanza Na Sh. 1.2 Milion + Transport allowance sh. 84,000 na housing Allowance sh.96,000 Siyo Hela ndogo kwa Mimi Ambaye sijaoa na sina hata Mchumba labda nimpate kesho wakati wa Kuchukua Barua.

Hii Si tetesi Kuna vijana wa DSM ile wakati wanasoma chuo cha Kodi kwa Miezi 12 wanatokea Home wameweza Kununua Viwanja

Kuna SACCOS ya TRA Kubwa sana Ina Offer Mikopo ya riba ndogo.

Kaka naona una over expectation, nani amekudanganya? umepitia utumishi nani akakupe 1.2? utalipwa mshahara kwa TGS USIOZID 950,000/=
 
sitaki kuusemea mchakato ulivyoendeshwa sababu hata sijui hizi kazi zilitangazwa lini.
ila nachotaka kuwashauri ni muwe wavumilivu..tra huwa inachukua watu kwa batches..so hii ni batch ya kwanza na inawezekana kukawa na batches kama mbili au tatu..so msikate Tamaa..kuweni wavumilivu kidogo.
ni hayo tu
nb:TRA kimaslahi ni pa kawaida sana,hata bank teller wa crdb bank kamuacha mbali sana officer wa tra..jina lisiwatishe
Hizo Batches zingine zitakuja na Intavyuu zake nazo
 
Kaka naona una over expectation, nani amekudanganya? umepitia utumishi nani akakupe 1.2? utalipwa mshahara kwa TGS USIOZID 950,000/=
Duuh! TRA hakuna TGS Kijana Wana Scale zao Acha Kukariri Mimi Nimeongea Na Jamaa yangu ambaye aliingia Mwaka 2016 na Akaniambia Walianza na 1.2Million Leo 2017 mnaweza Mkaanza na 1.3million scale nyingi zimeongezwa Pesa Tunaweza Tukaanza hata na 1.35Million na Siyo 1.2 ya 2016 Acha kufananisha NSSF, Bandari, TRA, TANROADS, TEMESA, TBA, BOT na Halmashauri hakuna Scale Inaitwa TGS kule
 
Jamaa alikataa offer ya tra mwaka Jana ilikuwa kama 800 hvi..sema watu wengi wamekariri ile tra ya enzi za analogy unapiga Pesa njenje..hii ya sasa hv ya digital ni kama mwalimu..lengo ni Ku standardize sector zote za serikali..
 
Back
Top Bottom