StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,063
- 8,499
Uhandsome una Category nyingi.Dada Zangu na Wadogo Zangu wa kike Nawapa Ushauri wa bure.
Acheni Kuingia kwenye Toxic Relationship dada zangu siku hizi wanaingia kwenye relationship na mwanaume kwa kuangalia Muonekano au Personality this is totally dangerous kwenye future yako Cz Asilimia kubwa ya Wanaume wenye personality nzuri hawanaga future yeyote.
Wanaona personality is everything na anaweza kudate na Mwanamke yeyote yule cz ya Muonekano wake, na Asilimia kubwa ya Wanaume wa aina hii wanajionaga forever young kwamba hata akiwa na miaka 50 ataoa na atapata mtoto.
Sasa kwa dada zangu hii kitu ni Ngumu sana akishafikisha 35-40 basi kupata mimba ni probability na kuolewa na ni Probability kwanza mostly of them wanakuwa wako msongo wa mawazo na age imeenda.
Wadogo zangu wenye age ya 20-26 acheni kupoteza mda kwenye toxic relationship eti kwasababu mwanaume ana personality nzuri ni kudestroy future yako mwenyewe cz Asilimia kubwa wanaume wanaojiona chocolate Kuoa ni ngumu sana
Bora uwe na Mwanaume Disable ila ana future na wewe na anakujali na anathamini uwepo wako kwake,
Acheni kuingia kwenye relationship kwa kuangalia Personality na Hela mwishoe Mnateseka kwenye relationship na mnakosa direction ya future yenu
Bora upate mwanaume anayekuthamini na kukujali na Mwenye mapenzi ya dhati kwako hayo mengine hela na Personality yatakuja tuu hakuna kinachoshindikana
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app