Ushauri wa bure kwa Kikwete


You seem very difficult to understand, I told you, the so called representative sample is reductionist. Your problems: you cram without understading. You think your myopic view represent the whole world. Your arguements are still confined in inferences, but inferences is deductive do not represent the whole. People like you are the big shame, go and tell those false ideas to morally corrupted people like you, not Great thinkers here.
 

halafu bado unasema wewe sio kada wa ccm!!!matokeo ya kwenye vituo yaliyosainiwa na mawakala wote yakatofautiana na yanayotangazwa na jaji makame(nec)...utakipa jina gani kitendo hicho kama sio uchakachuaji???acha ukereketwa wa chama...sisi tunaolilia haki sio kwamba tunataka uongozi au kitu gani,,.inatupa uzalendo pale haki inapotendeka
 




yaani huyu makame nikimeo sijui anaelim gani hivi vingereza vina mdanganya...eti kitabu..umesoma vitabu vingapi...kimeo nikimeo tu hata ukikitia ndani ya chupa lazima kitoe kichwa na kichungulie nje....sasa wewe huamini kuhusu kucahakachua au una imba tu ...hakika wewe nikibaraka wa mafisadi....kura mme iba hata maneno unaiba nyambafff
 

Hiyo English Mzee! Ni ya mtu aliye soma shule za Mungai "English medium" halafu akajua kubwabwaja kiingereza kisicho grammer!
Na watu weng wa English medium hawawezi kuwa wazalendo........
 
ATIGI

YOYOTE UTAKAYEMUAMBIA ABOUT YOUR REDUCTIONISM VIEW OF SAMPLING in Statistical analysis; ni kwamba you are endeavouring to NULLIFY THE WHOLE THING. IT MAY NOT APPEAR TO BE HOLISTIC ON THE FACE VALUE, but it is indeed; it is fully encompassing as its an evidence development of SYSTEMS THINKING. STATISTICS and inference will remain and will be used. Huwezi ukaleta dunia nzima kuja kusimamia uchaguzi bongo; lazima iwe na wawakilishi wake.

Na kama hiyo ndio view yako ya maisha; kwa bahati mbaya hutoweza kufanya maamuzi na hutoweza kusonga mbele. KUWA MTU ANAYEWEZA KUTAFAKARI!



NYAMBHIGI

Kama kuna legitimate claims za aina hiyo, wacha the agrieved parties ziende MAHAKAMANI, ila kama unaamini BLOGPOSTING ndio itafanikisha azma hiyo; sawa; hapa ni uwanja huru.


FRANKOWNER

Nani alietiwa chupani akatoa kidole kama sio wewe?


Hayo maneno ya KUchakachuliwa KURA ni ya vijiweni. Na cha kufurahisha zaidi ni kwamba SLAA ameyakubali matokeo, pamoja na wenzake. Nyie mnaoosha midomo mnataka nini?


Kesho SPIKA

Then

PM

The Cabinet.

Kule ZNZ tunategemea BLM leo mpaka Jmosi latest.

Mambo Muswano.

CCM ni chama cha TZ, kila jimbo kimeweka Mgombea.


USINUNE KUBALI MATOKEP
 

OBAMA, BUSH, CLINTON + JK = URANIUM DRAINING FROM TZ TO US
MANDELA + JK= MERERANI DRAINING = KILIMO KWANZA = NEO APARTHEID IN TZ
BROWN , BLAIR + JK = RADER PLUNDER
Don't they have enough reason to like JK?
 

To begin with your language sound like ''mipasho''. Your arguements have a lot of inconsitencies. If it cant appear to be holistic how do you expect to be holistic. Your myopic thinking is instrumental, static and old fashion topdown that does dot have glimpse on the reality. That is why your selfish CCM government you represent is failing to deliver, full of corrupt characters with sticky ideas like you.
 
kwa hiyo hao international observers ndio wanaotoa credibility ya kuwepo kwa uchaguzi huru na wa haki.
Najua kwako ni haki kuweka zengwe kwenye daftari la wapiga kura hasa pale ambao watu wameandikisha lakini details zao zimekosekana na hawakupiga kura.
Uchaguzi ulikuwa huru na haki pale ambapo baada ya counting na upinzani kushinda mkalazimisha recounting lakini sehemu walizoshinda sisiemu wala hakuwa na doubt.
Wewe ni MHUNI kama wahuni wengine wowote.
kama ni wewe unafanya kazi NEC utakuwa ni mhuni zaidi ya mhuni
 

MAKAME,

Kwani mlichakachua au hamkuchakacha??
 

MAKAME, jaji au.........???
 
Crap

obama, bush, clinton + jk = uranium draining from tz to us
mandela + jk= mererani draining = kilimo kwanza = neo apartheid in tz
brown , blair + jk = rader plunder
don't they have enough reason to like jk?
 
I would simply acknowledge the effort you have taken in trying to describe to us about yourself; and would urge you to further describe yourself; as this is not enough.

Good TRY


 
No pint

 
I would simply acknowledge the effort you have taken in trying to describe to us about yourself; and would urge you to further describe yourself; as this is not enough.

Good TRY

Next time figure out before you bring your instrumental thinking. This forum discusses dynamic and contemporary ideas not fixed blue prints ignoring reality on ground. The era of CCM are gone! We now speak of people's power which include understanding of their contexts and not how you and other corrupt people think.
 
ATIGI????


DONT YOU GET TIRED OF CRAP?

I cannot figure any contemporary or dynamic contribution made by u as far as this thread is concerned.

Aidha

Umeona thread ya Dk Slaa kuchakachua barua, soma in Tandem na hii uelewe.

Hicho kiingereza chenyewe bakulini hakijai alafu unaleta domo ozo lako hapa

Katafute mdako ucheze, huna hoja

Next time figure out before you bring instrumental thinking in this forum that discusses dynamic and contemporary ideas not fixed blue prints ignoring reality on ground.
 

This explains what kind of uncivilized person you are.
 
Makame

Nilikuwa nafuatilia thread hii, ushauri kwako ni mambo ya kifamilia kama ndoa n.k hayana uzito wowote katika uongozi, mfano Bill Clinton, Mandela n.k Hata ushahidi hatuna, inawezekana mke wa Slaa ndiye aliyechakachua ndoa yake. Mbona Mandela kaachana na mke wake? Tunachotaka sisi ni kiongozi shupavu ambaye ataweza kutuongoza na kupunguza umasikini Tanzania. Naomba tafadhali usilete ushabiki toa hoja za msingi.

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…