Ushauri wa bure kwa CHADEMA


Yeah lazima kujitolea,lkn viongozi wanapaswa kuonyesha njia/kuanzisha utaratibu wa kuelekea huko. ccm ofisi zao zilijengwa wakati wa chama kimoja na kwa kutumia rasilimali za serikali/kodi za wananchi wote. CDM wanatakiwa kuibua mikakati ya ujenzi wa ofc wananchi watasupport tu.
 
Mliweza kumnunulia nyumba Slaa lakini ofisi inawashinda, mliweza kununua mikangafu ya mbowe lakini kodi ya vyumba viwili dodoma inawashinda. Leo hii mnataka mpewe nchi,si ndio hapo mtamuona Mbowe anapewa Chumba benki kuu.

contain malware signature.
 
CDM ingekuwa strategic wasingefanya mambo wanayofanya sana! Wangejikita kwenye kukuza chama..including kuimprove office zao

,the software you are installing have no digital signature, you may continue at your own risk!!!!
 
Kabla ya ushauri wako kwa chama kaka ungetafiti kwanza histoya ya kuanzishwa kwa Chama na hata sifa za wafadhili wa CHAMA. Chama kilianzishwa na familia, kikavuta wachache toka nje ili kupata umaarufu ila malengo yakiwa yaleyale bila ya waliovutwa kujielewa, Wafadhili wa chama unawajua? unajua sifa zao? hakika ofisi za CHADEMA siku zote lazima ziwe chache na mafichoni ili historia ichukue mkondo wake
 
kama MBOWE alikataa shangingi kama kiongozi wa upinzani bungeni ni dhahiri kwamba tatizo siyo fedha, bali matumizi. weka vipesa vyako unavyotaka kuchangia kwenye SACCOS iliyoko karibu nawe ili baadaye mkopo uongezeke ya CHADEMA na MBOYE wanayajua wenyewe. Samahani naomba kujua hivi hata gari la CHAMA nalo alilikataa au lenyewe halitumii pesa za walipa kodi?
 
Nyumba anayoishi SLAA na makao makuu ya chama KINONDNI kipi kina hadhi?.
 
Je uwepo wa majengo maridadi na yenye hadhi kwa chama cha magamba umesaidia jinsi gani kuleta maendeleo na kuondoa madhira wanayopata wananchi wetu walio na magumu mengi yanayowakabili.
Ufahari wa majengo sio utendaji, kitabu hakihukumiwi tokana na jarida lake la juu.
 
Ushauri mzuri japo linahitaji muda na umakini
CCM wanatumia majengo yaliyojengwa na watanzania enzi za mwalimu
sidhani kama unaweza kupata majengo yenye hadhi yaliyojengwa na CCM toka 1992
kama yapo yatakuwa machache sana
tuamini kuwa Regia keshaiona na ataifanyia kazi
 
Ushauri mzuri sana mkuu, lakini naona muhimu kwanza chama kiimarike katika fikra za watanzania na baadae uboreshaji wa miundo mbinu, believe me CDM wakianza kuhamasiha ujenzi wa ofisi this tyme kutazuka hoja ya kuwa wamesahau shida za watanzania na kuanza kujenga ofisi za kifahari,kukmuka Kenya upinzani ulichukua nchi bila kuwa hata na ofisi za mikoa,tujipange kwanza kutapa uungwaji mkono katika fikra za mtanzania(hasa wa vijijini) ili ukombozi wa kweli uje,chama imara sio majengo na ofisi nzuri bali sera safi viongozi makini na usimamizi dhabiti katika kutekeleza sera.
 
Ushauri mzuri ndhani muhusika mkuu atakuwa amepita hapa na kuuchukua kama changamoto za chama
 
CDM ingekuwa strategic wasingefanya mambo wanayofanya sana! Wangejikita kwenye kukuza chama..including kuimprove office zao

Sasa hivi ni kupambana na ufisadi kwanza halafu ofisi baadae ... kwa nini wakae washinde oficin wakati wananchi wana matatizo chungu nzima?
 

Mkuu hivi pesa za walipakodi zinazotolewa kwa vyama vya siasa yaani ruzuku inatakiwa ifanye kazi gani? Mimi najua moja ya kazi ni kuimarisha vyama ili tuwe na demokrasia makini. Pia naamini ya kwamba chama kikiwa na ofisi zinazoeleweka ni sehemu ya kukiimarisha hicho chama kwani wanachama watakuwa na uhakika wa kuhudumiwa na ofisi za chama chao. Ruzuku inapogeuka kuwa ni pesa ya kulipia madeni na kulipia magari chakavu ambayo baadhi ya wanachama walijitolea kwa ajili ya kampeni naona kama haki haitendeki. Wale wenzangu na mimi ambao tulijitolea vibajaj vyetu na vikaishia kwenye kampeni tutafaidika vipi, si heri tujengewe ofisi basi.
 
Wafadhili wa Magwanda wamewaambia Chadema wasitumie hata shilingi kujenga ofisi na badala yake hela yote waitumie kuratibu maandamano na kununulia tindikali.

Ivi una miaka pungufu ya 50 wewe?
 
Rejao Inaomekana Mwigullu Nchemba alishakutembelea nyumbani kwako shauri zako wewe unakalia key board tu. Any way ndiyo makubaliana mliyokubaliana, akitoka Igunga atakujaza minoti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…