Ushauri wa bure kwa CHADEMA dhidi Freeman Mbowe

daza steven

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
361
Reaction score
361
Ni kweli hata katika Biblia wameandika upendo uvumila yote, upendo haukosi kuwa na adabu, upendo uamini yote, upendo hauhesabu mabaya.

Hii ndiyo hali ambayo wabunge watiifu Kwa Freeman Mboe wanapitia na kusikiliza amri ya kamanda mkuu, mfalme wa anga akitoa amri katika hili gwaride.

Hebu tusikilize baadhi ya magwaride ya kikakamavu ya makamanda yanavyokuwaga Ufipa Skwea.

Mguu pande! Paa!
Mguu sawa! Paa!
Tulia!

Makamandaaa! nilazima kupinga kilakitu kinachofanywa na kutendwa na huyu dicktetaaaa iwe kizuri au kibaya, hata kama ametengeneza barabara kwenda kijijini kwenu ambapo apo mwanzo mlikuwa mnateseka na wapiga kura wako lazima kupinga sawaaaa!! Sir yesss saaa!!

Makamandaaa! sasa tunakwenda kufunga maplasta mdomoni yanayotumika kufungia vidonda na mabandeji kama ishara ya kutufunga mdomo hakuna kuongea, kula wala kunywa, fungaaa!! Saa yesss saaa!

Makamandaa!! kila mbunge atakuwa anakatwa pesa katika mshahara wake kama sadaka na huna ruhusa ya kuhoji matumizi yake sawaa!! Saaa! yes saaa!!

Makamandaaa! sasa tutakuwa tunakwenda mwendo wa kususa susa mpaka kieleweke iwe bungeni, uchaguzi wa serikali za mitaa, na hata ikibidi uchaguzi mkuu tutasusa kama Maalim Seif alivyofanya!! Saaa! Yes Saaa!!

Makamandaa! huu mgogoro wa Kibiti mkoani pwani hakikisheni mnauchochea kwa nguvu zenu zote hii itatupa kiki kubwa kwani huyu dikteta atakuwa ameshindwa kutawala nchi sisi tuchukue utawala sawa! saa yes saaa!

Makamandaaa! nafasi za ubunge wa viti maaluum hizi zitatolewa kwa wadada walembo na wenye mvuto mimi nawajugaaaa na swala zima la uteuzi wake niachieni mimi sawa!! Sir yes saaa!!

Kuwatetea mafisida, wezi, wakwepa kodi, wala rushwa na hata majangili hii ndiyo sera yetu mbadalaa makamanda sawaa!! saaa! yes saaa!!

Makamanda! pamoja na kuwa 2015 tulipata wanachama na viongozi wengi kutoka CCM na kuamia kwetu lakini anayehama kwenda CCM lazima wote kwa umoja wetu tuseme amanunuliwaa!! sawaa!! Saa yes saaa!!

Makamanda ninabadirisha gia box angani pamoja na kuwa ni hatari tuliyemwita fisadi nambali wani hili kupata kiki Mzee Lowasa nilazima asafiswe kila kona ya nchi sawaa!! Sa! yes saaa!!

Makamandaa! Dr. Slaa ameondoka nawaambia alikuwa mzigo na mamluki tena amenunuliwa na CCM, Chadema ilikuwepo hata kabla yake naitaendelea kuwepo sawaa! saaa! yes saaa!!

Makamanda! nilazima tukajiloku dauni hili tusife na korona kwani wapiga kura wetu wanaweza kuzaliana haraka na kupata wapiga kura vijana wapya!! Sir yes saaa!!

Makamandaa! kama kamanda si mtihifu kwangu lazima atafukuzwa hata ikibidi bila kufuata katiba ya chama kwani huyo ni mamluki na msaliti sawa!! saa yes saaa!!

Makamanda! mimi ndiyo mwenyekiti wa maisha kama Mobutu Seseko, Kamuzu banda, Robart Mugabe na Muswati, mtu akijipendekeza anahatarisha uhanachama wake na hata maishaa yake sawa!! Saaa Yes saaa!

Kamanda mkuu amemaliza sasa anaingia kamanda msaidizi wa operasheni huyu si mwingine ni Godblass Lema.
Makamandaa vifua mbele mita 100 Sir yes sir!!

Makamandaa! hata biblia imesema tuache woga msiogope polisi, msiogope askali magereza na hata JWTZ hawa ni makamanda kama sisi kama noma na iwe noma sawaa!! sir yes saaa!!

Hili gwaride ni lazima litawaponza wabunge wengi wa Chadema kwani harina tofauti na lile gwaride la kamanda Aldof Hitla wa Ujerumani ambalo kila mtu anajua ilikuwaje.

Nawakumbusha wabunge wa CDM kuwa wananchi wenu wanawapenda sana kuliko nnavyo dhani lakini hilo gwaride linawakera sana, baadhi wanasema huku mtaani ukiwauliza mimi sina chama, wengine wanasema sipigi kura tena, haya yanatokana na kukatiswa tamaa na upinzani uliopo hasa ukizingatia kuwa hicho ndiyo chama chetu kikuu cha upinzani tunacho kitegemea.

Nawasilisha
Mtoto wamchungaji.
Basi Msinitupie sana mitusi vijana wa Ufipa.
 
Halafu kuna mpuuzi anakuja kusema eti sijui kuna mtu anatukana kwahio tutamuua, is it right kumuita Mbowe katunisti? Nyie ni washenzi
 
Mbowe sahivi kashammaliza Mchattle kisiasa mpaka amehamua kukimbilia chattel.
 
Umemaliza, kakojoe ulale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..ili kuweka usawa Mbowe alitakiwa ahutubie toka Machame, na agawe mabulungutu ya pesa.
 
Namuona Mbunge Lijualikali wa Kilombero anamwaga mboga muda huu!!
 
Ukitaka kuona jinsi ccm ina vijana wajinga pitia mitandao kisha soma comments zao

Tanzania tumepotoka na tujihurumie.
 
Nikumbusheni Ndugai ametabiri Chadema itavuka na wabunge wangapi vile?
 
Back
Top Bottom