ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,923
- 6,932
Wana Bodi salam.
Nimekuwa nafuatilia nchi inavyoendeshwa, na nimekuwa najaribu kuelewa nini mkuu wetu anafikiria. Nimeona niwashauri wote wenye mamlaka maneno mafupi tu kwamba;
Raia wetu no 1, anatamani kuona huduma zinaboreshwa na kuwa za kuridhisha tena kwa gharama nafuu. Utawala wake umejielekeza hapo siyo kujilimbikizia mali.
Hivyo wote mnaohusika na idara na taasisi zinazotoa huduma, na kwa kweli mnalipwa vizuri, tumieni weledi wenu kuboresha utendaji kazi.
Mikataba yenu muwe makini mhakikishe haimunyonyi mtu maskini. Kuweni makini na maamuzi yenu, la sivyo mtaumbuliwa.
Mshahara na posho nzuri mnazilipwa zitawatokea puani mkitanguliza kujilimbikizia mali. Mtakwisha wakuuu.
Wasalam.
Mramba hakuna namna tena.