- Thread starter
- #41
sawa ni mara ngapi imetokea hvyo je ukijaribu kuzima na kuweka switch on tena zinaonekana?Mkuu kwanza asante kwa kujitolea muda wako kushare elimu yako na jamii. Gari yangu( corolla 5A ea100) kunamuda nikiweka switch on haswa engine ikiwa imepoa taa zote zinawaka katika dashboard na nikiwasha gari zinazima kama kawaida, ila nikishatembea nalo kidogo tu nikiweka tena switch on taa ya check engine haionekan katika dashboard na nikiwasha pia haionekani. Naomba ushauri wako
hii inaweza kusababishwa na loose wiring hannes ya dashbord lights
tafuta fundi umeme akusaidie kufuatilie system ya umeme kuna mahali haiko sawa
karibu
Sent using Jamii Forums mobile app