Viongozi wa dini wataka wanaoleta uchochezi wadhibitiwe. Wawataja Dkt. Slaa, Mwabukusi na Mdude

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Viongozi wa dini waliokutana Dar es Salaam kupitia kamati ya amani ya mkoa chini ya mwenyekiti wake wa sasa Shekhe Walidi Omari (Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam) wamewataka wanasiasa na wanaharakati wanatakata maandamano wadhibitiwe ili wasilete uvunjifu wa amani nchini.

Wakiwataja majina Mdude, Dkt. Slaa na Wakili Mwabukusi kuwa wanataka kuligawa taifa na kutaka Serikali iwadhibiti hasa kupitia Mahakama.

Wameenda mbali na kulaani muito wa Muungano kuwa ulilenga kuleta machafuko baada ya kushindwa mahakamani

Chanzo channel Ten

USSR
 
Viogozi wa dini waliokutana Dar es salaam kupitia kamati ya amani ya mkoa chini ya mwenyekiti wake wa sasa Shekhe Walidi Omari (Shekhe mkuu wa mkoa wa dar es salaam) wamewataka wanasiasa na wanaharakati wanatakata maandamano wadhibitiwe ili wasilete uvunjifu wa amani nchini.

Wakiwataja majina kina mdude , Dk slaa n wakili mwambukusi kuwa wanataka kuligawa taifa na kutaka serkali iwadhibiti hasa kupitia mahakama.

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Dar ni jiji kubwa lakini jambo la ajabu, kwa wenzetu Waislam, wakati wote Dar imekuwa na shekhe mkuu wa mkoa mwenye akili ya ajabu, ambaye wakati wote anafanya kazi ya uchawa kwa viongozi wa Serikali.
 
Viogozi wa dini waliokutana Dar es salaam kupitia kamati ya amani ya mkoa chini ya mwenyekiti wake wa sasa Shekhe Walidi Omari (Shekhe mkuu wa mkoa wa dar es salaam) wamewataka wanasiasa na wanaharakati wanatakata maandamano wadhibitiwe ili wasilete uvunjifu wa amani nchini.

Wakiwataja majina kina mdude , Dk slaa n wakili mwambukusi kuwa wanataka kuligawa taifa na kutaka serkali iwadhibiti hasa kupitia mahakama.

Wameenda mbali na kulaani muito wa Muungano kuwa ulilenga kuleta machafuko baada ya kushindwa mahakamani

Chanzo channel Ten

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Chanzo chanel 10 !!!!! ???!
 
Dr. Slaa anavuna alichopanda...huyu mzee ni mnafiki sana...wakati mboww amefingwa yeye alikuwa anatoa kejeli kuwa ugaidi wa mbowe waweza kuwa kweli ..pia lissu alivyopigwa risasi huyu slaa alisema kapigwa na watu wa chadema....sasa sioni sababu kwanini watu wanahangaika na slaa..mwacheni afinywe...kama alivyokua anashangilia wenzake wakiteswa...
 
Sadaka zetu zimewalewesha, siku hizi wamegeuka kuwa matapeli.
 
Viogozi wa dini waliokutana Dar es salaam kupitia kamati ya amani ya mkoa chini ya mwenyekiti wake wa sasa Shekhe Walidi Omari (Shekhe mkuu wa mkoa wa dar es salaam) wamewataka wanasiasa na wanaharakati wanatakata maandamano wadhibitiwe ili wasilete uvunjifu wa amani nchini.

Wakiwataja majina kina mdude , Dk slaa n wakili mwambukusi kuwa wanataka kuligawa taifa na kutaka serkali iwadhibiti hasa kupitia mahakama.

Wameenda mbali na kulaani muito wa Muungano kuwa ulilenga kuleta machafuko baada ya kushindwa mahakamani

Chanzo channel Ten

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Chanzo : TV ya ccm
 
wabarikiwe
 
Dr. Slaa anavuna alichopanda...huyu mzee ni mnafiki sana...wakati mboww amefingwa yeye alikuwa anatoa kejeli kuwa ugaidi wa mbowe waweza kuwa kweli ..pia lissu alivyopigwa risasi huyu slaa alisema kapigwa na watu wa chadema....sasa sioni sababu kwanini watu wanahangaika na slaa..mwacheni afinywe...kama alivyokua anashangilia wenzake wakiteswa...
Wewe ni msemaji wa Familia ya Mbowe? Kama Mbowe hajalalamika wewe ni nani hadi ulalamike? Hii sio point kajioange uje na point
 
Viogozi wa dini waliokutana Dar es Salaam kupitia kamati ya amani ya mkoa chini ya mwenyekiti wake wa sasa Shekhe Walidi Omari (Shekhe mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam) wamewataka wanasiasa na wanaharakati wanatakata maandamano wadhibitiwe ili wasilete uvunjifu wa amani nchini.

Wakiwataja majina Mdude, Dkt. Slaa na Wakili Mwabukusi kuwa wanataka kuligawa taifa na kutaka Serikali iwadhibiti hasa kupitia Mahakama.

Wameenda mbali na kulaani muito wa Muungano kuwa ulilenga kuleta machafuko baada ya kushindwa mahakamani

Chanzo channel Ten

USSR
Kumbe sheikh 🤣🤣🤣🤣
 
Viongozi wa dini wako wapi hapo?
 
Sijui kama unajua nini maana ya neno "Viongozi wa dini". Ulitakiwa useme, mashehe wa Kislam wataka.......................
 
Back
Top Bottom