Ni kwa kupitia box la kura ndio wananchi wanaamua na si vinginevyo.Sasa tuache hao wananchi wafanye maamuzi yao kupitia box la kura na wala si kwa mitandao !
Maoni kwa maana ya uchaguzi ni yale yanayo patikana kwa njia ya sanduku la kura. Hii demokrasia inayobuniwa kipindi hiki cha uchaguzi ya kumtaka mtu fulani agombee na yule asigombee si sawa.
Acheni watu wagombee, kama Lisu anaungwa mkono atashinda kwa kura. Ukitaka kufata maoni ya huku nje, unaweza kusikiliza na kupokea sauti za wapinzani wako wanaotaka mshindani dhaifu ili wamburuze kirahisi.