Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,855
- 27,023
Kwanini uliichukua? Unreachable huko huko bank.20000 yake namrudishia Samia siitaki, nisaidieni namba yake ya Mpesa au account namba ya bank
Kwanini uliichukua? Unreachable huko huko bank.20000 yake namrudishia Samia siitaki, nisaidieni namba yake ya Mpesa au account namba ya bank
Mtake au mistake Rais ni SSH.. Mengine unamuachia Mungu.Hata Magufuli walisema hivyo hivyo kwamba tutake tusitake, na Samia nae atakuwa rais hadi 2030 tutake tusitake. Nimekuelewa.