Ushauri wa babu

Ushauri wa babu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,924
Reaction score
61,707
Babu yangu alinishauri kwamba,mjukuu wangu ni vizuri kuzaa mapema kwa sababu matunda yake utakuja kuyaona uko mbeleni, sasa hivi kwa sababu ya ujana na 'u-much know' unaweza ukapuuzia ukaona ujinga kwa sababu ya kufuata mkumbo;hutojuta kuzaa mapema.Kwa hiyo ndugu zangu,ni vizuri kwa mwanaume aliye na miaka 35+ awe tayari ameanzisha familia au kuwa na mtoto/watoto,na kwa mwanamke ni vizuri kuwa umeolewa au kuwa na mtoto/watoto unapokuwa na umri wa miaka 30+.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom