Johnny Impact JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 5,543 Reaction score 9,167 May 19, 2021 #61 Umebaki wewe tu ambaye hauna gari. Hapa nimepaki VX 8 nakula nyama choma. Kipunga said: Jf kila mtu ni tajiri kila mtu amesoma kila mtu anaishi mjini kila mtu ana ndinga ya maana hahaha jf bana! Click to expand...
Umebaki wewe tu ambaye hauna gari. Hapa nimepaki VX 8 nakula nyama choma. Kipunga said: Jf kila mtu ni tajiri kila mtu amesoma kila mtu anaishi mjini kila mtu ana ndinga ya maana hahaha jf bana! Click to expand...
T Tangantika JF-Expert Member Joined Aug 12, 2018 Posts 5,806 Reaction score 7,379 May 19, 2021 #62 Sweet16 said: Si tofautisha kuandika na matamshi? Click to expand... Kwani mkono na mdomo ndio vinafikiria cha kuandika ? Si vina amrishwa na ubongo.
Sweet16 said: Si tofautisha kuandika na matamshi? Click to expand... Kwani mkono na mdomo ndio vinafikiria cha kuandika ? Si vina amrishwa na ubongo.
Sweet16 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 5,952 Reaction score 10,593 May 21, 2021 #63 Tangantika said: Kwani mkono na mdomo ndio vinafikiria cha kuandika ? Si vina amrishwa na ubongo. Click to expand... Na miguu
Tangantika said: Kwani mkono na mdomo ndio vinafikiria cha kuandika ? Si vina amrishwa na ubongo. Click to expand... Na miguu