Ushauri wa Baba unanikosesha usingizi

Ana DIPROMA
Sio ajabu mtu aliokulia mara kuweka R kwenye L. Wakenya hawawezi kusema AJE wanasema AKUJE. Wazungu wengi wanaongea kiswahili ila hawawezi kutaja vizuri maneni mengi tu.
Nyie mmeelimika kweli ?
 
Huo mwandiko tu hata mia mbovu hana mfukon


Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Wewe na wenzio kila siku tunawarekebisha, kwenye simu hakuna mwandiko kuna maandishi.
Unakosoa kwa kukosea, shule za kata zimewaharibu sana, halafu mnacheka watu, nyie wenyewe mnakosea! Msijifanye wajuaji.
Mwandiko huumbwa kwa penseli na kalamu ya wino au electronic pen.
Sema uandishi sio mwandiko.
 
mkuu sasa ndio ujue hela haichagui pa kuingia
Wanaojua kuandika hawana cha maana, wanasibiri mama apunguze asilimia 1% na sita ili wapumue.
Miaka 10 mtu hajaenda bank ku draw milioni moja ila anajua kuiandika kwenye madaftari.
 
 
Pole na hongera
Pole maana yake babako kuna mahali anakuona Kama mfanyabiashara mkubwa
Na hongera kwa maana umefanikiwa kumiliki biashara mjini


Ila samahani sana kwa kuingilia thread yako umeona threat yangu ya
" Nahitaji mkopo wa milioni 2 nifanye biashara ya bajaji narudisha mkopo ndani ya miezi 4-6"

Naomba ushirikiano wako bize signal
 
Wewe mwenyewe Kuna sehemu umechapia ,hebu Soma vizuri
Wanacheza na smart keyboard.
Ila huyo jachapua jqa kutawaliwa na kikulya.
Sawa na wasikuma hawawexi kusema thi..wanasema si...
Think...sink.
 
Hilo neno! Mzee anaona mbali. Maono ya mbali tena yenye kilo. Kudos Mzee, kweli ya kale ni dhahabu. Salute kwa mzee
 
Njoo pm nikupe ushauri wenye akili , usipokuwa makini hapa watu watakufanya uone maneno ya mzee hayana maana.
 
Sio ajabu mtu aliokulia mara kuweka R kwenye L. Wakenya hawawezi kusema AJE wanasema AKUJE. Wazungu wengi wanaongea kiswahili ila hawawezi kutaja vizuri maneni mengi tu.
Nyie mmeelimika kweli ?
Si tofautisha kuandika na matamshi?
 
Du mzee wako yuko very broad minded, na yuko right.
Fuatilia ushauri, hutaumbuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…