Ushauri wa Baba unanikosesha usingizi


Kweli kabisa mimi nilishajikatalia siku nyingi siji kubeba dhambi ya kujidanganya mwenyewe sababu ukisema una gari na hauna maana yake unajifanganya mwenyewe na ukisema una phd na hauna unajifanganya mwenyewe na dhambi haibebwi kirahisi hivyo, hela inatafutwa tuipambanie sa mtu utatembea kwa mguu na kwene midaladala mpaka lini ? aisee me ndio huwa sikubali hata iweje
 
Mie hata leo ww useme sijui unaendesha sijui ranger hata kama unadanganya its up to you unajibebesha mzigo mwenyeweee....hata useme una 2b kwa account n huna unajichosha mwenyewe as mie sidhuriki na kuathirika na utajiri wako
 
Mtu msomi anaandika diproma badala ya diplona huyu ni darasa la saba B
 
Je na wewe unaona hizo fursa zina tija kwako?
 
Hongera sana 150m zipo benk sio mchezo mkuu ooohhh labda kama uwe unatega samaki wa humu wanakuja PM sasa hivi
 
Anafahamu kuwa nina cash bank sio chini ya mia hamsini milioni nje ya vitega uchumi nilivyonavyo. Nimeamua nikueleze haya nikiwa hai imekuwa ni ndoto yake siku nyingi. wanaJF nishaulini nyie mungemujibu vipi? binafsi nilimwambia ninatafakari.
Duh upo series kabisa kwa utawala huu wa JPM ulihifadhi 149,000,000.00 bila TRA na BOT kukuuliza au Task force kuhoji ulikozipata
Muheshimu baba yako na msikilize mpe to 10,000,000/00 atanyamaza
kweli JF wote matajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…