bize signal
Member
- Mar 22, 2021
- 29
- 50
Jf kila mtu ni tajiri kila mtu amesoma kila mtu anaishi mjini kila mtu ana ndinga ya maana hahaha jf bana!
Mie huo msemo esp hapa jf unanishangazaga sana...hv hayo magari yanayopita barabarani watu wake wanaishi sayari ipi??? Yaani watu wan mind za giza balaa...hao waliomaliza degree zao wanaishi sayari ipi? Si humu humu?Mkuu inawezekana wengi wana hivyo vitu na mimi huwa sion sababu ya mtu yeyote kufanganya kama ana gari na hana hilo gari sababu hivyo vitu vyote wanavyosema vinatafutika sikuiz gari hata milion 4 unapata mkuu sa mkuu ukiamua kuitafuta hela milion nne itakushinda ??
Kweli kabisa mfano taycoon kidukuliloMie huo msemo esp hapa jf unanishangazaga sana...hv hayo magari yanayopita barabarani watu wake wanaishi sayari ipi??? Yaani watu wan mind za giza balaa...hao waliomaliza degree zao wanaishi sayari ipi? Si humu humu?
Hizo nyumba mnazoona watu wamejenga bungalows wanaishi jupiter au?
Yaani mie nashangaaga balaa... !
Kifupi jf kuna matycoon..kuna watu wanaishi kwenye mijumba mizuri na wanatembelea ndinga kali...wapo sana tu
Ana DIPROMAJf kila mtu ni tajiri kila mtu amesoma kila mtu anaishi mjini kila mtu ana ndinga ya maana hahaha jf bana!
Na akiamua kuwekeza asije akasema ananunua sjui gari za watalii coz ataishia kununua mbili tu used adi kuzisimamisha 150 inakata.....Wewe unafanikiwaje halafu huna miradi ya maana nyumbani? Jua kabisa kwamba kwa hali hiyo hujafuta umaskini. Huo umaskini umepotea temporarily tu. Lakn hiyo 150M ukipeleka kuwekeza nyumbani unatengeneza ajira na fursa na kufuta umaskini wa kijiji kizima.
Mzee wa kende mbili nawewe unatoa advise kwenye hii gahawaMzee bado anamtazamo wa nyumbni ni nyumbani, mkataa kwao ni mtumwa.
Mzee anaona kama ukoo na nzao yake inapotea, ipo mbali na nyumbani na mwisho atapoteza kizazi chake.
Kimsingi mafanikio hayana formula, na hakuna popote wala yeyote aliewahi kufaham kwamba wapi penye ahadi/ameandikiwa kwamba ndipo atafanikiwa.
Kwanza mzee nafikiri hajafahamu kwamba KUSOMA ni kitu kingine na kuna tofauti na KUELIMIKA, ambapo pengine wewe kama kijana wake baada ya KUSOMA uliweza KUELIMIKA na ukatengeneza connections na mikakati ya mazingira ili uweze kuyafikia mafinikio katika mazingira yalio kuzunguka wakati tayari UMEELIMIKA.
Huo mwandiko tu hata mia mbovu hana mfukonJf kila mtu ni tajiri kila mtu amesoma kila mtu anaishi mjini kila mtu ana ndinga ya maana hahaha jf bana!
Sijaelewa hiyo 150 M aliyenayo ni mzee wake au mwandishi wa uzi?