Ushauri: Vyuo vikuu vibaki vitano tu nchini

Sema unataka wenye degree mbaki wachache wala sio hayo uliyoyasema
Hapana. Amesema ukweli. Wapo vijana huku maofisini ukiangalia utendaji wao wa kazi mhhh; ukiambiwa huyo ni graduate utaruka futi mia. Yani fikiria e.g. mtu anapewa fedha azitumie halafu baadaye akizimaliza atolee Taarifa ya matumizi jinsi alivyozitumia ili apewe zingine-anashindwa. Badala yake anaanza na vijimaneno Oh, wananitafuta, wananifatilia-fatilia utadhani nimekula chao n.k. n.k.
 
Mnamaliza vyuo hakuna mnalojua, huko maofisini wanalalamika uwezo mdogo, maana yake ni kuwa hamkupikwa vizuri.

Vibaki vyuo kadhaa kwa ajili ya degree.
Acha kuwa na akili mgando mkuuuuu, mkufunzi hakupiki wewe ndo unatakiwa ujipike mwenyewe acha kulalamika ovyo ovyo
 
Mawazo ya zama za kale za mawe

Enzi za authralopithecus africanus kabisa

Kabla hata ya kandi na mgeu

Wahanga wanaelewa
 
Hizi private universities nyingi zikishapata usajili hazifanyi development yoyote hasa kwenye infrastructure na kuajiri qualified lecturers inakua changamoto sana. Unakuta chuo kiliposajiliwa kilikua kinadahili watu 2,000 lakini baada ya miaka 10 kinadahili watu 12,000 katika miundombinu ileile na wakufunzi walewale.

Awamu ya mkapa vyuo viliongezeka sana ili kukidhi matakwa ya wakati tuliopo. Vingi havikua na sifa zote lakini kwa umasikini wetu ni bora tuanze mdogomdogo na improvements zitaendelea kufanyika.

Ila TCU ni kama wamelala hivi hawavifuatilii hivi vyuo ipasavyo. Ingekua vizuri kama wangewapa malengo kulingana na muda. Haiwezekani chuo kina miaka 15 ila hawana miundombinu ya kueleweka.

Kuvifuta sio suluhisho maana kwa dunia tuliyopo tutachekwa. Kenya tunawazidi population ila namba ya graduates wanaozalishwa kwa mwaka wametuzidi. Kikubwa ni TCU kufanya majukumu yake ili Elimu iendelee kuwa bora.

Hivi vyuo vya kati ndio kumeoza kabisa
 
Hivi kumbe Tanzania kuna vyuo competence?

Nauliza tu
 
Ardhi yetu jmn, hoja yako n nzr maana kuna vyuo kwa kweli ni shida ila sio kua vibaki vyuo vitano .
 
UDSM wana development gani kama sio upumbavu tu na ma lecturer waliojaa chuki na wengi wao. Ni mashoga
 
UDSM wana development gani kama sio upumbavu tu na ma lecturer waliojaa chuki na wengi wao. Ni mashoga
kitu nina uhakika nacho ni ratio ya lecturers na students iko vizuri kulinganisha na vyuo vingi. Wana facilities za muhimu kusomea fani husika, inaweza isiwe kwa level kubwa lakini kwa nchi yetu wako vizuri.

Mimi nimezungumza kitu nilichokiexperience maana nimepitia private university ambako shida kubwa ilikua miundombinu na wakufunzi wa kuungaunga. Unaona capacity ya chuo katika kozi X ni 50 ila wanachukua 100. Hapo quality lazima ipungue.

Quality ya elimu udsm imeshuka sana kulinganisha na miaka 10 iliyopita. It's very obvious maana katika ranking za Africa ilikua top 10 lakini kwa sasa sidhani hata kama ipo top 30. Lakini ndani ya nchi bado inaendelea kuwa namba 1 kumaanisha vyuo vingine vipo chini zaidi.

Kama nchi inatakiwa tuamke na tuambiane ukweli la sivyo half cooked graduates wataongezeka mtaani.
 
Mbona mdogo wangu wa mzumbe nilikuwa namuona ni kipanga special
 
Moshi Co-operative University ni university pekee kubwa na inayoeleweka Africa nzima!

Sasa usijisahaulishe- Masomo na Ushirika ni muhimu ndo maana uko kwenye vikundi na jamaa wenzio mnaweka na kukopeshana pesa!
Kwani kukopeshana inahitaji uwe na digrii?
TCU, futilieni mbali MoCU, kimekaa kijalala kijalala tu
 
Eeh haya mauchafu ya zoom tuyafungie
Hatutaki kutengeneza vilaza wasomi
 
Kwani kukopeshana inahitaji uwe na digrii?
TCU, futilieni mbali MoCU, kimekaa kijalala kijalala tu
  • ili uweze kuendesha biashara ya Saccos ni lazima uwe na cooperative Manager ambaye ni degree holder wa degree ya cooperative management and accounting, hapo ofisini kwenu Kuna Saccos na meneja wa hiyo Saccos ana elimu gani? La 7 au
  • Kuna kitu kinaitwa Coperative accounting, hilo somo ndiyo moyo wa biashara ya ushirika,
  • Kuna kitu kinaitwa Cooperative law unakijua?
  • serikali haiwezi kuifuta MoCu kwa sababu ndiyo chuo kinachokuza sekta ya ushirika, na kama hujui ushirika ni sector inayokuwa kwa kasi sana, tazama Kila ofisi Kuna Saccos kuanzia Jeshini,magereza,polisi,tra, mahakama,nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…