Ushauri: Vyuo vikuu vibaki vitano tu nchini

Vyuo vyenye hadhi vibaki na vile vichaka vya rushwa na ubadhirifu vitupiliwe mbali.
 
Unataka vibaki vichache alafu hao VC na Chancellor unawapeleka wapi, hupendi watu waendeshe V8 wewe 🤪
 
Unajua ukikurupuka utajikuta umeanguka ndani ya pipa la pombe. Hili suala la vijana wa sasa wanaosoma UDSM kujiona so exceptional na much know limeisha ongelewa sn humu. Mimi nilisema vijana wengi wa sasa mnaosoma hapo mnapomaliza ni empty headed Bora hata Jordan graduates. Nashangaa wewe ndiyo unawasifia eti kwa vile na wewe ni mhitimu wa hapo. Ebu tu angalia ulivyoandika Kiingereza chako eti "incompetence products". Km wewe tu hujui kutunga sentence ndogo kwa Kiingereza km "incompetent products" unasema "incompetence products" unawezaje kuwadharau wenzio. Yani graduate kabisa tena unajigamba wa UDSM unaandika"incompetence products". English ya wapi hiyo ha ha ha 😃😃😃😃😃 Na wewe ni bora nichague andazi nitapata harufu ya iliki.
 
Mtoa mada yuko na hoja ya msingi sana, inaweza isiwe exactly alivyosema coz linahitaji kuchakatwa, ila idadi ya universities iangaliwe tena upya.

Tunahitaji vocational training institutions zaidi ya "universities".
 
Disgusting
 
Mzumbe
Muhimbili..
IFM, IAA, CBE, TIA wahasibu, Bankers, Afisa Ugavi asilimia kubwa ni product za hivi vyuo.
Ardhi ina Ma Injia wake huku mtaani.

Mtoa mada sijui umewaza nini? Au pengine useme kila mtoa uwe na vyuo at least vinne/ 5
Hivyo vyuo vitoe Advanced Diploma kama ilivyokuwa awali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…