Ushauri: Valentine Spesho

Ushauri: Valentine Spesho

KWENYE MAPENZI

Umeshawahi kufanya mambo gani ya hatari ambayo haukuwahi kupanga? !

Hapa siongelei fujo za ngumi na mieleka naongelea mambo ya mubashara zaidi!

Mimi:
Nilimfumania ex wangu kabla sijaolewa nikaendeleza three sum (akili za money penny anazijua mwenyewe)

Sijui wewe ulifanya nini? !

KWENYE MAPENZI

Umeshawahi kufanya mambo gani ya hatari ambayo haujawahi kupanga? !

Hapa siongelei fujo za ngumi na mieleka naongelea mambo ya mubashara zaidi!

Mimi:
Nilimfumania ex wangu kabla sijaolewa nikaendeleza three sum (akili za money penny anazijua mwenyewe)

Sijui wewe ulifanya nini? !
 
Hahahaha lkn wewe hautaki tujifunze kwako sio? !
Vbaya ivyooo Mungu anakuoooonaaa
Hiyoo "three sum" yako imenifanya niwe mdogo ghafla. Nimejiona sina cha kuweka hadharani.

Nlizoea simple to complex.... Sasa imeanzia Complex
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom